Hili kanisa jamn lipo wap me nipo dodoma lakn sipajui
2026-09-27 02:03:02
13
Rose Ngele :
ninkweli amen
2026-09-26 17:16:31
0
Elizabeth :
Amen and Amen
2026-09-27 09:20:47
0
naomie💕 :
Mtumishi ni kwa nn namuomba mungu nafunga na kuomba lakin watu ninaoishinao wananiona mbaya
2026-09-26 14:47:40
17
Diana joel :
🙏🏼🙏🏼 nimeamin mtumishi mana kwa aliyonitendea mm sikustahili hata kidogo hakika mungu mwema kwangu
2026-09-26 18:03:10
10
justan :
mungu badilisha maishayangu leo
2026-09-26 15:29:56
15
🦂 ♏darleen :
Ameeen and Ameen
2026-09-26 13:35:17
1
rey qeen💞💞💞 :
Uyu ndo Mchungaj sasa🥰🥰🥰🥰
2026-09-27 02:38:42
6
Nancy :
umenigusa mtumishi ubariikiweeeeee
2026-09-27 06:06:23
2
sorina tz🥰🥰 :
mm amenipa aman ya moyo penda sana yesu mm
2026-09-27 06:08:37
0
~Being-shakirah🧸🤎🌸 :
Amina mtumishi🥰
2026-09-27 06:34:37
1
Doreen❣️🔹 :
sijihesabii haki lakini katika hili mtumishi Mungu aibadilishe nyumba yngu ,mama yngu wadogo zangu na wote waliokusudiwa kua sehemu yangu 🙏✊Mungu kama ikimpendeza aanze namm najihic nawez kuwaongoza wengne bila ubaguz kwa hekima ya Mungu ikiwa juu yangu
2026-09-26 15:27:54
2
suzan :
Amen and amen
2026-09-26 08:30:06
0
Agness🌸 :
ameeen mm najionaga mkosaji sana aisee nimekosea watu wengi wamelia sana kwaajili yang nimetoa mimba natibu kila siku lkn naonaga kama mungu ajanisamehe 🥺 asante umenitia moyo mtumishi
2026-09-27 07:14:58
0
Irine Uliza :
Nyie nimeelewa sanaaa🙌🙌🙌🙌🙌
2026-09-26 19:11:37
1
aikaussiri :
Mungu. naomb. neema
2026-09-26 10:59:44
1
yvonne yona :
ndio nilichogundua kila mtu na neema yake aliyokadiliwa maana hatufanani
2026-09-26 15:43:53
2
dotnator :
Naiwe kwangu sasa. Nimengoja BWANA kwa muda sasa
2026-09-26 16:58:30
2
son of God 🌿 :
amen mungu naomba fanya na kwangu kwa jina la yesu [Pray][Pray][Pray][Pray]
2026-09-26 14:04:23
1
Missjojo¥🇹🇿🫶🇺🇸 :
Amina nangoja eema zangu adui zangu wazalilike
2026-09-26 19:33:33
1
🌹Mummy twins ♥️💕 :
Ameen 🙏na iwe hivyo kwangu Mimi na wanangu🙏
2026-09-26 13:27:45
1
Ruth Mndeme :
amen 🙏🙏🙏🙏🙏
2026-09-27 10:25:53
0
To see more videos from user @chomozatv, please go to the Tikwm
homepage.