@musichabaritz: Nakumisi sana kipenzi cha Mama ❤️. Follow @loynizer_kaliua kwaajili ya updates zaidi. #lovesong #viralvideo #tanzaniantiktok🇹🇿 #wasafitv

MUSIC HABARI TZ
MUSIC HABARI TZ
Open In TikTok:
Region: TZ
Saturday 26 September 2026 06:42:43 GMT
333360
24153
196
255

Music

Download

Comments

gift.mude8
Gift mude❤️❤️ :
tunayejua maana ya aya maumv ya kajala tunamuelewa San anajiskiaje
2026-09-27 07:18:55
56
eva87162
Queen :
Mapenzi yanauma kuliko uchungu wakuzaa staki kuyasiki tena kwenye maisha yangu
2026-09-27 12:53:53
21
rashidab79
Rashida :
Somebody explained did they broke up or they’re still in love that’s why is she crying?
2026-09-27 21:18:21
1
snchobesh
snchobesh :
I’m feeling pain for Kajala 🥰
2026-09-28 16:58:03
1
tantineros
tantine rose :
dada pole
2026-09-28 19:39:21
0
jackymbinda12
Jackiline Mbinda :
umeuwa mwamba iyo song
2026-09-28 07:20:27
0
wirtz.cherki
WIRTZ CHERKI~🇹🇿ONE :
[Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy] [Red heart] no meme
2026-09-27 11:01:03
0
djsfamily3
djsfamily :
Kuna wanaume tunawapenda sio kwamba wanajua mapenzi hapana sio kwamba ni wazuri sana hapana sio kiwa wana pesa sana hapana ukweli ni kuwa kuna wanaume wanajua kumfanya mwanamke aonekani ni bora yani anampa uhuru wa kila kitu unasikia kama wewe ndio kiala kitu lakini hawa wanaume siku wakikuacha unaumia sana
2026-09-27 13:32:29
10
valo4723
Valo :
Aki harmonize that is not fair
2026-09-27 16:12:26
0
user6650095835367
lighitnes narisis :
jaman et mbooooooo inamliza mtu kweli
2026-09-26 13:33:54
6
user6528183548875
harima652818373 :
dada usilie acha mungu atayalipa yot
2026-09-27 09:08:27
7
prince.annar
Prince &princess❤️💯🫅👸🔥🔥 :
umefik mbal kaeni chini muzungumze dah mapenz shikamooo dunia simama mm nishuke😭
2026-09-26 10:51:30
8
sherwingrace40
Sherwin Grace :
mapenzi ni ya watanzania sisi wakenya hatuwenzani nayo Wacha tutafute pesa
2026-09-27 15:48:40
9
evacosmas4
Mick 234 :
jaman kwan analilia mapenz ee nam natamani sku nipate wakumpenda mpaka akiniacha nilie maana kwang haijatokea
2026-09-28 13:25:50
3
emma.de.boss0
EMMA DE BOSS :
Bila masharti ya pesa za harmonise ila Kajala na Harmonise wanapendana sana masharti ni magumu tu
2026-09-27 16:40:13
8
hamida.rajab2
Hafsa💕💖💕 Rajabu😘 :
miesikuhizi sipend tena naikitokea nimempenda mtu simueki moyoni namueka puani akizingua napiga chafya moia tu namtoa huko nilishatendwa sana sina hamu kabisaa kila nikiwaona najua nihao hao🙌🙌nilikua sili nilikondeana kama mgonjwa lkn kwasasa aku sitaki kupenda sana wala kumueka mtu moyoni mwangu
2026-09-28 08:32:13
2
user2270173559127
user2270173559127 :
unatesa uyo kajala Sana aki 😭
2026-09-28 17:19:35
1
user8792612424934
Thobias masirori :
usilie dadangu ndo mapenzi ilivyo unae mpenda akupendi anaekupnda umpndi 😂😂😂😂
2026-09-27 21:03:08
4
user5170680567791
Becky :
kweli pesa sio kila kitu nimeamini
2026-09-27 20:19:00
3
user409167001055
88 baguette :
umwache ss
2026-09-27 19:41:41
1
tlanka5
Ester :
mapenzi bhana,,,,yaani unaweza lia kama mtoto
2026-09-27 20:37:54
2
ibla.j.shop
Groly @ :
tusio elewa tujuane
2026-09-27 19:35:50
3
luqmankomba1234
luqmankomba@1234 :
mngemxkiriza mwalimu nyerere ungekuwa mbali
2026-09-28 02:55:00
0
user2966387377757
Mariam :
nakupenda sana kj
2026-09-26 14:37:15
3
shadya.haruni
shadyaharuni7 :
dada punguza kulia bc kpnz
2026-09-26 15:39:56
1
To see more videos from user @musichabaritz, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About