Kuna air arabia huwa wanapeana 50kgs,shinda ni kukesha Dubai
2026-09-28 10:24:04
5
Janet003 :
boss wangu ananiulizaa ndege ya rahis ni ipiii na inabembaa kg ngapiii😳
2026-09-26 16:49:14
4
focus mutheu 🥰 :
mm venye siamini mtu bag ni moja tu
2026-09-26 08:39:38
0
naomiongori :
what about bag embty pia wanaomba pesa
2026-09-26 12:25:54
1
my ❤️ :
mfano kg zangu ni 30 alfu nko na hizo bag 3psc bt nisiwe na nguo mingi naeza chukua bag 2 nkazichanganya pamoja
2026-09-26 21:10:51
2
𝕭𝖗𝖊𝖓𝖆𝖋𝖙𝖊𝖗𝖉𝖆𝖗𝖐🎀🧷 :
yes beshte yangu alitupa manguo[Facepalm]
2026-09-30 09:28:57
0
Jc🖕💔🫵 :
apo kw umesindilia we are the same 🤣🤣
2026-09-26 10:58:12
1
lekaki 2#usacanada🇰🇪🇨🇦🇱🇷 :
tupee namba ya cargo dealer
2026-09-29 04:08:40
0
Josephine safari :
bag pia iko na shida kwanza yakuingia nayo kwa ndege mm nliacha yangu juu wanasema nikubwa na haikua kubwa juu hiyo nilikuja nayo kutoka kenya😊😊
2026-09-27 04:05:53
0
Nenoka💞😍 :
Ethiopian airline Iko aje wakuu
2026-10-01 12:30:14
2
strong forever :
Mimi na buy 3 in 1 bt sinunui vitu nitaingiza Moja kwa ingine
2026-09-26 18:09:09
1
superzis sherwin :
Sisi ni jedide aky mnatupea pressure vile mnatuacha
2026-11-19 12:57:45
1
mrs said❤️❤️❤️ :
nimeshkuru umenichanuwa sister
2026-09-27 10:08:32
1
Beby♥️ :
Thanks darling, Mungu amekutuma kwangu unielezee kwa wakati mwafaka🙏🙏🙏🙏❤️❤️❤️❤️
2026-09-28 17:42:23
1
Chimumy :
mm aki staki iyo flynas
2026-09-26 15:02:08
0
mrs swalo❤️🫂 :
asnt dd[Heartwarming][Heartwarming]
2026-09-27 22:51:31
0
minzy :
2026-09-26 13:20:07
0
Ruthie🩷🩷 :
flynas Ni ya ujinga hainanga kilo Mingi😔
2026-09-27 06:13:20
0
mum princess :
mm niliandikiwa 2 pieces Emirates
2026-09-26 20:30:49
0
VUYANZI 254🇰🇪 :
Hiyo bag ndogo ni how many inches
2026-09-27 14:27:21
0
STRONG LADY (💗) :
asantii wa kwetu sikua najua kitu na ramdan ilikua nibuy bag
2026-09-27 13:02:51
0
Nellykanaiza🇰🇪🇸🇦 :
hiyo ya 30kg isipojaza 30 inakuaje
2026-11-12 11:24:36
0
Ayuxhababe2 :
nisaidiy na namba ya mtu wa cargo sista
2026-09-30 10:57:33
0
My jannah 🥰 :
Mm nililipiwa bag mbili kila bag 20kg 20kg dhen hiyo ya 7kg mzigo ukazidi Na bag Ike ya mgongoni pia ikazidi 😆😆😆😆 lkn boss wng Alilipa 500 rial Na ndege ilikua hiyo flaynas
2026-09-26 23:09:05
0
To see more videos from user @maryshanta1, please go to the Tikwm
homepage.