navigator next time ukiingia nchi zenye hatari ya kupata ebora usitumie permanent passport Yako tumia temporary passport utakosa vigezo vya kupata visa za Europe na USA na mataifa mengine ambayo yanaweka vigezo vikali kwa wasafiri
2026-09-26 10:04:45
14
Cy514 :
masaa mangapi
2026-09-26 08:21:12
2
Dream travellers :
Karibu kampala
2026-09-26 12:17:42
2
Kufa lazima :
Daah nimepaona home kwa mbali MULEBA
2026-09-26 10:26:19
7
TRAVELER :
Mtukura masaka barabara 90km lakini haikamiliki mwaka wa 3 huu uganda 🙌🙌
2026-09-26 08:48:20
6
crwn :
kaizerege uliikuta dom saa ngapi
2026-09-26 08:54:28
7
Yassirsimba15 :
Masaka mtaani kwangu Hapo😂
2026-09-26 08:29:53
3
Swahili for foreigners 📚🇹🇿 :
Hiyo vumbi nilitaman kulia
2026-09-26 09:58:49
1
Mr D :
karibu sana kampala
2026-09-26 11:16:46
1
Sarah🦋 :
Sasa hivi mutukula hadi kampala ni 40k😳
2026-09-26 12:13:58
1
Erick johaness :
alie kwambia uoneshe sitendi ya mkoa Bukoba ni nan au unatutaka ubaya😂😂😂
2026-09-26 11:47:20
3
Isaac Kalyango :
Karibu
2026-09-26 09:23:31
1
Tabu Gani :
oiiii km old Kampala hivi hapo
2026-09-26 09:54:29
1
Ndekezi office furniture 🦺🪑 :
Noma sana kaka 🔥🔥
2026-09-26 13:36:12
1
_~Gson~ 🥷🏿 :
Yooooh🔥
2026-09-26 08:40:21
1
Aball :
mwanangu umenikumbusha mbali sana maisha ya utafutaji.kagera iyo kyaka apo.nimekula sana gonja🤣 mtukula uko dahh
2026-09-26 16:38:22
0
Exodus :
Nimependa contents zako
2026-09-26 15:18:50
0
Nanah :
Next
2026-09-26 16:56:46
0
Madam Neeli 🦋 :
Basi unakatia wapi kabla au ukifika dodoma?
2026-09-26 15:32:39
0
Ntity Design :
Vipi route huko na kupitia Namanga,Nairobi,Busia,Then Kampala,ipi ni rote ndefu mkuu?Gharama yake ikoje pia?
2026-09-26 14:34:36
1
Bobmiro :
qbbk nachukia safari za hiv 😂
2026-09-26 09:23:16
2
ATM MASHINE :
sifa zote za wahaya iyo stend yao duuu
2026-09-26 16:40:59
0
saintmuchacho :
🔥🔥🔥🔥🔥
2026-09-26 09:53:55
1
To see more videos from user @navigator.chindul, please go to the Tikwm
homepage.