@userbradboy40: TWO SENEGALESE IN ONE TRACK! Pape Ousmane Sakho ๐ธ๐ณ + Libasse Guey ๐ธ๐ณ = SIMBA SC! ๐ดโช Wachezaji wawili kutoka Senegal, taifa ambalo limekuwa likizalisha vipaji vikubwa vya soka barani Afrika, wanaweza kuwa sehemu ya kikosi kimoja ndani ya Simba SC. ๐ฅ Kwa mujibu wa taarifa nilizopokea, Libasse Guey anatarajiwa kuendelea kusalia Msimbazi baada ya Simba kufikia makubaliano ya kumpa mkataba mpya wa miaka mitatu. โ๏ธ๐ธ๐ณ Kwa upande wa Pape Ousmane Sakho, taarifa kutoka ndani zinaeleza kuwa Simba tayari imefikia hatua nzuri kwenye dili hilo, huku kinachosubiriwa ikiwa ni dirisha dogo la usajili kufunguliwa ili klabu iweze kufanya tangazo rasmi. ๐๐ฅ Kama yote yatakamilika kama inavyotarajiwa, basi Simba itakuwa na Senegalese wawili kwenye kikosi kimoja โ Sakho na Libasse Guey. ๐ธ๐ณ๐ธ๐ณ Na hapa ndipo swali linapokuja... ๐ ๐ฅ Sakho upande mmoja ๐ฅ Libasse Guey upande mwingine Wawili hawa wakipata chemistry ndani ya mfumo wa Steve Barker, Simba inaweza kuwa na nguvu zaidi kwenye eneo la ushambuliaji na ubunifu. ๐ธ๐ณ TWO SENEGALESE. ONE TRACK. ONE SIMBA. Sakho + Libasse Guey ndani ya Simba... itakuwa hatari kiasi gani? ๐ฅ๐ #followmichezohubtz