ndo wanadamu bro walivyo ss tunataka elimu wengine wanapenda kukera mtu
2026-09-26 07:47:42
7
amosmartha799 :
mimi nataman nielewe sana kuhusu paka maana huku kwetu sikunzima huon wala husikii paka ila usiku saa 8 ndo unasikia wanalilia dirishan na wanalia saut zankutisha kama saut za watu hv yaan nashindwa kuelewa lkn nikisali wanaondoka
2026-09-27 09:16:34
1
Abuuzulfa :
waongea kama alikiba
2026-09-29 19:27:23
1
mirawath🤪🤪 :
nakubal kak
2026-09-26 08:14:40
1
Farhat :
kazi nzuri kaka atasikulaumu👍👍👍
2026-10-08 10:56:31
1
Agent of change :
mtu aniite ikitoka next ya ramso
2026-09-26 08:27:21
4
Sam's :
Duuh hatari mbona mm paka wakinikuta nakula kwa mama Ntilie wananililia mpaka wanatia huruma na ninawarushia Hadi vichwa Vya samaki Au ndo hao hao
2026-09-26 17:01:45
0
JOAN :
Binafsi nimejifunza vitu vingi sn kupitia ww
2026-09-26 07:48:06
3
Ezekiel mgogo :
ana akili uyoo
2026-09-26 10:11:34
1
miss pretend 🦋 :
Mpaka mtu kaamua kuelezea kitu live ujue anakitu okay endelea kutuelimisha sis tusofahamu mungu akulinde 🙏
2026-09-26 07:48:16
4
miquissone :
Ni haki yake kumjibu ivo kaka we achananae mtoto mdogo uyo kwak
2026-09-26 09:20:59
1
salmaomary8144 :
Kwakweli njia za mkato sio poa
2026-09-28 12:21:56
1
Neema Nyàkiaga :
nimejofuza vitu vingi sana kupitia wewe
2026-09-26 10:33:22
1
Matty elnest💫 :
nimetokea ku.kuamini waamby ukwely kaka
2026-09-26 11:20:37
1
🦋Gracy🍁💫💫 :
nakubal kaka
2026-09-26 07:50:29
1
@lubuu :
2026-09-27 12:37:13
1
Elisha Mwakipiti :
kwa hii story kama ni kweli!! basi inatakiwaa usiwe umeoa au kuolewa na kama umeoa basi inabidi umushilikishe mkeo/mmeo ili hata mmoja akifa aendeleze utaratibu wa pesa ziendelee kuepo
2026-09-26 09:49:09
1
𝒸𝒶𝓇𝓁𝓎𝒹𝑒𝒸𝓊𝓉𝓎💝💖👌🥰 :
yeye so mungu kukutbilia yatakayokukut achan nae bro let us continue
2026-09-26 09:33:28
1
king👑 singa :
nakubali kaka
2026-09-26 07:41:24
1
Moshiro Tips :
mafungu yapi mzeee kama kuna short cut pita nayo ila isiwe na mambo mengi
2026-09-26 08:11:55
1
Ms _mlay :
woww
2026-10-17 11:02:47
0
omane phone kitonga :
Elimu sahihi ni pesa man hizo zingine kelele
2026-09-30 21:26:44
0
yasfaty,🇹🇿✈️🇴🇲 :
duu kweli mwane2
2026-09-26 09:53:24
1
To see more videos from user @mallume04, please go to the Tikwm
homepage.