Nilicho gundua asilimia 90/ wasani na waigizajii Dini wanijua sana kuliko sie mashabiki😅😅😅😅
2026-09-26 13:02:30
13
mudy :
nashallah
2026-09-26 12:55:59
0
addy victor 🦋 :
Jaman vingine mnatupa dhambi Ona sas nmecheka😂😂😂😂😂
2026-09-26 18:54:04
2
Allan Piyayya :
Natamani Kucheka Au basi
2026-09-26 13:01:24
6
Stella Belege :
mi natabasamu kama mtanga
2026-09-26 13:48:30
2
King Blood65 :
sheikh kingwendu
2026-09-26 13:44:00
0
saidiyasini638 :
Ila mbona mtanga anacheka
2026-09-26 12:39:29
4
abou hamdy :
Bismillah ma shaallah 🥰🥰shida comedy nyingi mbaka anapoteza makhraji🤣🤣
2026-09-26 10:30:42
4
shazilbinmarota :
Maneno ya Allah si ya kufanyia Comedy!
Tuwe na nidhamu tunaposoma maneno ya Allah.
asilimia kubwa kwa kila anaesikiliza hii clip anacheka,hata huyo kiongozi hapo naye anacheka.
Huu ni msiba!