@omega_petro: Joel lwaga kuhusu wimbo wake mpya nikumbuke #creatorsearchinsights #joellwaganikumbuke #joellwagaftdiamondplatnums #tiktoktanzania🇹🇿 #majibuyajoellwaga

OMEGA_PETRO🌾
OMEGA_PETRO🌾
Open In TikTok:
Region: TZ
Saturday 26 September 2026 07:37:30 GMT
111520
4811
315
192

Music

Download

Comments

juju2gp
Julia :
Tamaaa brother watch your back😅😅😅
2026-09-26 10:37:10
110
francekidd
France kidd 🇹🇿 :
wakuu mmeiona hiii
2026-09-26 17:13:21
31
de.bright519
☠️💫De_Bright 🌄 :
mnaangalia izo ishara za kwenye mikono lkn
2026-09-26 15:39:56
1
maleek_flackooo
longlivebenardo 🇬🇾 :
anayo point mna judge excessively
2026-09-26 19:39:23
0
wauzajinguozandan
Alex mwaka mbeya urembo mix :
sema jamaa anaongea kweli ukimsikiliza bila kupaniki 💔
2026-09-26 15:18:29
40
kihanda_magari
KIHANDA MAGARI :
imba RnB tu bwana mdogo
2026-09-26 19:58:35
0
editha066
miss apple :
those are false preachers
2026-09-26 14:40:16
0
black__maradona
BLACK MARADÖNA🌴 :
Uzuri siku ya Mwisho Yote Yatajulikana
2026-09-26 12:53:00
57
mackrinaelly
Golden Nugget🥇👑♏ :
tatizo lilianza pale kwenye OLODUMARE
2026-09-26 11:39:07
54
peter_enterprises
Peter_enterprises :
naombeni mnieleweshe wamesema wanatumia kampuni zingine ni kampuni gani ?
2026-09-26 12:25:06
24
sha_yya012
sweet_nova🌸 :
kisa tu kaimba na msanii wa bongo fleva ila watu basi Kilamtu atasema ni freemason Kila mtu afanye anachopenda keep going joel
2026-09-26 13:10:56
39
ellylyzer
💫Chuga girl 👧 💕 :
you better watch ur back 😳
2026-09-26 20:20:38
0
osmond.cjs
Osmond CJs :
He is exposing himself!!
2026-09-26 12:28:10
5
user5315268805142
𝗣𝗮𝗽𝗮𝗵 𝗰𝗲𝗲𝗱🧢 :
𝗛𝘂𝘆𝗼 𝘀𝗶𝗼 𝘄𝗲𝘁𝘂 𝘁𝗲𝗻𝗮
2026-09-26 14:50:05
18
user1211223582199
2020 :
sikuzote mafuta hayachanganyikagi namaji yani hataiweje mafuta lazima yajitenge
2026-09-26 11:45:22
27
babyimeldah
Baby :
shida warokolo niwa binafsi wanaona mbingu niyakwao peke yao wanaubaguzi sana Kumusifu MUNGU kila mtu anahaki MUNGU achagu kaka uko sawa hujakosea kuimba na mondi hata huyo mondi ni wa MUNGU
2026-09-26 10:13:03
36
hump_tz
Humphrey_FXS :
ila yote yatajulikana mbinguni
2026-09-26 13:51:33
17
geemercy13
~Gee💜 :
Hili LISHAKENGEUKA
2026-09-26 12:21:06
15
mrpassionug
KING 👑 KONG :
YESSSSSSSSSSSS WANAO MSAPOTI JOEL TUJUANE
2026-09-26 14:35:15
21
janetwatel1
Watery :
watu wangu wanaangamia kwa kukosa maarifa
2026-09-26 15:13:11
5
yahaya0469d
yahaya :
huyu jama kasha jiunga tayari
2026-09-26 14:43:49
28
army22097
AR🎀MY 🥀 :
izo ishara mbn mie nafanya au namie nishaleft na sijijui😁
2026-09-26 15:13:26
13
solidtalk_show1
IJUE KWELI 🌎 :
kuna tofauti ya wasanii na watumishi, kuna tofauti ya waimbaji wa nyimbo za injili na waimbaji wa nyimbo zinazomtaja Mungu.
2026-09-26 16:54:38
5
wapendwa.media
Wapendwa.media :
Bro piga kazii mungu NDO alietuleta duniani kwanini tuteseke😳😳
2026-09-26 12:41:28
9
chupinzur
gee :
na kwel kuna kina Goodluck gozberth wako wap sasa hv hata kumsikia simsikii kwaio kila mtu atafute kula yake jwa namna yake
2026-09-26 17:04:11
5
To see more videos from user @omega_petro, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About