@alfaris.tanzania: Asante kwa kutufikia kuhusu safari ya Umrah ya mwezi wa 10 Package ya Umrah ya mwezi wa kumi ni dola 2350$ sawa na Tsh 6,251,000Tsh Inajumuisha ✅ Visa ya Umrah ✅ Tiketi ya ndege (go & return) ✅ Hotel Makkah na Madina ✅ Bima ya Afya ✅ Usafiri wa ndani ya makkah na madinah ✅ Ziara sehemu za kihistoria ✅ Ihram kwa wanaume na hijjab kwa wanawake ✅ Maji ya Zamzam lita 5 Tarehe kuondoka 21/10/2026 Kurudi 31/10/2026 Ili kujisajili kwa safari ya Umrah ya mwezi wa kumi, tunahitaji taarifa zifuatazo: 1. Jina kamili kama lilivyo kwenye passport 2. Picha/Copy ya passport (iwe bado ina muda wa kutosha) 3. Picha ndogo ya passport size 4. Namba ya simu ya mawasiliano 5. Taarifa za ndugu wa karibu (emergency contact) Baada ya kupokea taarifa zako tutakamilisha taratibu za safari InshaAllah 🤍 Karibu sana

Alfaris Tanzania
Alfaris Tanzania
Open In TikTok:
Region: TZ
Saturday 26 September 2026 07:37:30 GMT
25625
3088
50
455

Music

Download

Comments

dj.hima6
Dj hima :
mungu atusamehe makosa yetu
2026-09-26 10:49:14
5
bakari.yusufu23
Bakari Yusufu :
Nakubali kazi yako mzee allah akuhifadhi.
2026-09-26 09:29:27
13
r8980118
R💦 :
asante kwa kutufkishiya allah akulipe
2026-09-26 14:05:13
4
seif.mohamed5872
Swaifllah muhammad :
pasuka sheikh pasuka
2026-09-28 03:06:55
1
budvin48
HASHY 39 :
nakubali san sheikh hashim mung akipe maish marefu
2026-09-26 15:21:19
3
ridhione15
Ridhione :
Jaman tuwe makini san
2026-09-26 10:57:47
2
sarai.ricco5
Sarai Ricco :
nikweli na ukweli unauma
2026-09-26 18:31:29
2
last.king9987
😎Last king🤴 :
Tulinde migongo yetu
2026-09-28 14:37:54
0
sempai.empi
senpai MP :
nakukubar sana shekhe
2026-09-26 18:28:53
1
stoper_og2
Stoper_og :
Allahuakbar Allah atusameh makosa yetu
2026-09-27 03:19:55
0
faiswal_123
فيصل سليمان :
lkn shkh umeongea ukweli mashaallah
2026-09-27 19:22:43
0
user293316319444
I'll get what I want Zu📚 :
🤣🤣🤣🤣 Allahu Akbar
2026-09-26 08:15:47
1
user8395034738636
ukhuty nuru :
bola aseme mwaume mwezenu tukisema ss tuna midoma ahsanteh allah akupe umri mlefu
2026-09-26 11:40:49
1
abdi.kadir.suleim
Abdi kadir Suleiman :
waambie
2026-09-27 18:11:07
0
sakumabdallahbro
THE IRGC NAVY :
2026-09-27 08:49:19
0
ishaq_man45
ISHAQ_MAN45👊👊🤛🤛 :
ni kweli sheik
2026-09-27 12:47:22
0
tiger.msauzi
TIGER MSAUZI😎😎 :
ALHU AKBARU
2026-09-27 15:25:41
0
chandehusna
chandehusna :
subhanna LLLAH Mmungu akuhfadh mashekh msktin muwe mnakemea maan mskt kuna jamii na mkusanyiko huenda ikasaidia maadil yamepotea.
2026-09-26 10:47:22
0
mja.nyaza
Mja Nyaza :
wachom [Heartwarming][Heartwarming][Heartwarming][Heartwarming]
2026-09-26 14:32:19
1
mariam.mariam1363
Mariam Mariam :
Kweli
2026-09-26 15:28:37
0
user7561920104420hadija
user7561920104420h :
suburban allah
2026-09-26 18:57:44
0
mama.shadiya3
Mama Shadiya :
mashallah
2026-09-27 01:33:56
0
dottomasoudkafara
Khalfan Masoud :
Sheikh vp wanaume wanaoshona shati za vitenge ni sahihi?
2026-09-27 11:15:10
0
oman65175
Oman :
nakupenda shehe mungu akupe mwisho mwema
2026-09-26 18:54:35
0
momay.junaid
Momay Junaid :
😂😂 nimecheka sana
2026-09-26 11:02:53
0
To see more videos from user @alfaris.tanzania, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About