@chobis_twins: #CapCut siwezi kusoma sawa, ila hii picha naona, hakuna mapenz naona 😫🥹 #nauguza moyo Second verse Link on bio👆
Chobis_twins
Region: TZ
Saturday 26 September 2026 07:40:06 GMT
Music
Download
Comments
Nancy🎀 :
Mnaimba malalamiko tu
2026-09-26 08:12:47
6
Amina Saugo :
mchwaaaaaaaaaa nawapenda hd kero aiseee Nikija Africa Tz ntawatafutaaa nawapenda mnoo
2026-10-08 16:47:16
0
grace oresto :
kumbe ni mapacha jamn mmependeza jamn [Heartwarming]
2026-10-03 12:03:29
1
Athumani :
brand muhimu ilindwe[Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy]
2026-09-26 07:58:47
2
sabrena❤️ :
nauguza moyoo tarataraa kwake poyoyo tarataraa .
Tena ata sielewi Sina Imani na haya mapeenz🥰.
2026-10-06 19:04:50
1
nassy :
mbona mshindi hatujamuona
2026-09-26 07:48:09
0
IT'S ME ALLY MADIBA :
Mimi ndo kaka Yao
2026-10-07 18:08:04
0
sweety :
pend sana
2026-10-07 22:18:43
0
Madam Vero :
Nawapenda mno nina Imani na mapenzi yangu ila naenjoy sana nyimbo zenu
2026-10-03 12:49:49
2
JONOMA JR💪 :
nawapenda buree warembo na kiufup tuuu mnatuliwaza sisi tulio achwa
2026-10-03 13:56:33
0
minah 😘 :
mm mwenyewe sina Iman na haya mapenzi
2026-09-26 19:25:59
3
Delta D 830 :
asanteni kwakuniliwaza
2026-10-03 09:21:23
1
seph kitila :
safi pambaneni mungu atawafungulia🥰🥰🥰
2026-09-27 16:44:13
4
hongeleni wadogo zangu mko vizur kila la heri
2026-09-28 11:28:10
1
Lucy Nicholaus :
Mtafika mbali sana nawapenda ❤️❤️❤️🥰
2026-09-26 14:15:22
1
Clarisse Furaha :
@[Réconfortant][Réconfortant][Réconfortant][Réconfortant][Réconfortant]dede
2026-09-28 23:06:01
1
Aluko Laizer :
kweli kabisa Mimi pia Sina Imani na haya mapenzi h😭y@
2026-09-27 09:27:17
1
minah 😘 :
yn km mnaniimbia uhalisia wangu
2026-09-26 19:26:34
2
Ricky :
oyaaaa ni nomaaaa@
2026-09-26 09:48:04
0
Jesca Philimon :
2026-10-08 12:12:06
0
shamsa mabruk :
mapenzi shkamooo😂😂😂
2026-10-08 12:11:36
0
ceyty :
nawapenda sana yan, na ivo mnavofanana
2026-10-09 09:33:19
0
Official Mina🥰 :
Me nawapenda tu❤️❤️
2026-10-06 12:30:34
0
Lilian deus :
nawapenda jmn
2026-10-05 17:51:05
0
Dominica ❤️🩹💔❤️🔥 :
eu amo vocês força 🇲🇿🇲🇿
2026-09-26 07:57:22
0
To see more videos from user @chobis_twins, please go to the Tikwm
homepage.