@manifestgwajiboy: Mwanaume kama umeoa mwanamke anayekupenda ni hazina yako. #manifestgwajiboy

Manifest Gwaji Boy
Manifest Gwaji Boy
Open In TikTok:
Region: TZ
Saturday 26 September 2026 07:47:41 GMT
79466
3336
106
803

Music

Download

Comments

shiku.shiks30
shiku shiks🥰 :
I like,these
2026-09-28 18:21:56
0
geoffreyjonathan2
Geoffrey Jonathan :
mm nilimpata ila tamaa nikampoteza cha moto saivi nakipata
2026-09-29 07:46:49
0
albinasappy
mumy naaa :
Ee mungu nisaidie huyu mwanaume haoni baba,
2026-09-26 10:36:16
10
dafrosa33
Be smart always :
wangu anajua umuhimu wangu🥰 kunamuda nasema ahsante
2026-09-26 14:44:16
3
mamabtz
Helen :
wamama wanavidonda jamani
2026-09-26 16:52:57
1
jaylene981
jaylene🥰 :
nilitaka niweke status lkn mh😅
2026-09-26 16:23:37
1
anna.nko3
momo de cute☺️ :
Ameena
2026-09-27 17:10:55
0
user8487055417292
Msukumaa pekee handsome :
si wote hawa wengine tulio nao hata tumekuja kazini tumewaacha wamelala na hawajui tumefika kazin wal hat kam nimeoga hajui wal nmkunywa chai hajui hao unaowasemea n wanawakee wa zamani
2026-09-27 03:08:57
0
stela.tumpale
Stela Tumpale :
pale unasikia hata ukiondoka siwezi kukufata unagundua unajipa umuhim kwenye maisha ya mtu asiyejua umuhim wako 😭😭😭
2026-09-27 19:18:43
0
kailaaloyce
JADEITE BABY COLLECTION :
Baba yangu hujawahi niangusha Nakupendaaaa
2026-09-26 13:58:24
4
user3184227876285
user3184227876285 :
na hapo umemfumania umekuta msg za hovyo lakini haoni wewe umenyamaza tu anakuona kama haunapakwenda Mungu tutie nguvu
2026-09-26 17:56:17
4
user7659615581614
sarahmichael :
Mungu nilindie uyu mtu aisee
2026-09-26 12:57:31
2
phinasulley1
nasulley1 :
Baba kweli nikiangalia mahubiri yako napona moyo,napata nguvu ya kusonga mbele hakika MUNGU azidi kubariki siku zote usipungukwe 🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙌🙌🙌🙌🙌🙌
2026-09-26 09:52:45
5
neema.mpoma8
Neema Mpoma :
mungu mlinde mme wangu
2026-09-26 09:03:16
4
graceenyasi2
neygee :
unajua kusema
2026-09-26 14:38:55
3
user7770849757275
Miss Boss 💝 ❤️ 💖 :
Sahihi kabisa 😅😂😂😂
2026-09-26 19:29:20
1
gloryibrahim733
gloryibrahim733 :
amina baba
2026-09-27 20:04:52
0
laisonifweni4
laywizzy outfit 🥰 :
Aminaaaa
2026-09-26 09:33:26
1
spoky._.mitchy
Mahiiii :
kweli ifikiye wanawume wote
2026-09-26 13:29:23
1
radegunda.a.mtui
Radegunda A Mtui :
mchungaji Mungu akubariki kwa neno nzuri sana
2026-09-27 12:57:27
1
suzan.samwel17
Mîsojî :
Kwelimwaya,tusaidie
2026-09-26 13:20:32
1
lucia.joseph76
Lucia Joseph :
jasusi la mbinguni umeweza baba
2026-09-26 13:08:36
1
jescaally822
Jesca Ally :
BABA MUNGUUU asante kwa kunipa kaBaba kazur kananipenda na kunijali kuniskilizana yaan umenipa shosti sio Mume🤣🤣🤣🤣🙌🙌
2026-09-26 22:50:34
1
joannie496
Joannie :
amina bb mungu akuongwzee
2026-09-26 13:29:00
1
mtafitinr2025
mtafitin+r@2025 :
Kweli
2026-09-29 06:28:32
0
To see more videos from user @manifestgwajiboy, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About