@stuadventist: Accasia singers wakimtukuza Mungu kwa njia ya Uimbaji katika Ibada ya Hitimisho Mkutano wa Kibada Digital Evangelism Event Karibu tubarikiwe pamoja kupitia mitandao yote ya kijamii ya Southern Tanzania Union Mission (STU ADVENTIST) na Youtube Channel ya Hope Channel Tanzania #mamboyotemapya #tumainilinaanziahapa