Nothing is dangerous than a man who want a new life
2026-09-27 05:49:35
24
Mama JJ🦅 :
Aiseee michepuko🥺🥺
2026-09-26 13:20:02
3
cool Girl :
iv wanakuwa wamerogwa au ni nini jamani Mungu atutetee.wanawake wenye wanaume wenye vipesa Muombeni sana Mungu maana vidada huko nje vinapambana sana
2026-10-07 05:50:51
1
ArabianDiva 🦋🍓☘️ :
haya genz tuamke tuogope ndoa😄
2026-09-28 19:11:05
31
Joyce :
yani chris watts niliangalia documentary yake jamani wale watoto hawakuwa na hatia
2026-09-26 09:00:49
13
Anna :
As i sayed am not getting married or getting kids
2026-09-26 08:31:09
2
Prettysia :
Ila wanaume wasikie tu mh!
2026-09-26 10:23:04
13
اسلحن🌺 :
hii ya Chris inaumiza aisee
2026-09-26 08:41:33
5
Bliss :
2026-09-26 08:36:07
6
wandy :
where do u get that stories dear@waizer
2026-09-26 11:13:26
1
sasha sophie :
Imagine huyo criss alisaidia hata police kutafuta mke wake
2026-09-26 09:12:39
12
justbefine🤪 :
Another day to fear men🥺
2026-09-27 02:19:36
5
Paloma💋 :
wanawake tunapuuzia red flag sana shida ni kujipa matumaini kwamba atabadilika
2026-09-26 16:20:53
6
bebelah :
mh ndo mana mimi nachunguza simu ya mume wangu sio simu tu yani namchunguza vizuri tu hata kama sitojua yote ila yapo ambayo nitayafahamu na nitachukua hatua
2026-09-26 13:26:39
7
Tinnah :
duuuh aisee 😳😳
2026-09-26 10:46:08
2
stellah🌹🌹 :
unasimulia vizur san🥰🥰
2026-09-26 18:08:30
2
Coco interior design :
2026-09-26 10:58:17
2
lyn :
chris watts ni lishetani niliangalia documentary yake jamani uwiiiiii
2026-09-30 11:36:13
1
Boma la Mai :
kwani hakunaga divorce huko majuu?
2026-10-07 21:12:21
1
elyn_store :
This is so heartbreaking eeeehh💔
2026-09-26 08:32:18
3
its_Ccy🌸 :
2026-09-26 12:42:47
1
To see more videos from user @waizer.it, please go to the Tikwm
homepage.