@gee06670:

Stargirl💥Gee
Stargirl💥Gee
Open In TikTok:
Region: TZ
Saturday 26 September 2026 08:27:01 GMT
65255
2730
155
362

Music

Download

Comments

user2075654521260
qeen👑 sonia 👸🥷✍ :
mim kabisa[Laugh approved][Laugh approved][Laugh approved]
2026-09-27 08:18:47
0
yummy7673
yummy🌹🌸 :
hii nayo Haina come back😂
2026-09-26 20:00:04
3
isha.bebe1
Isha bebe :
Arafu wakirudiana wanaanza kusimuliana mambo mlomwambia😂😁
2026-09-26 19:31:08
17
queenlione17
Queen Leo :
hata mie nilikoma toka 2024😂😂😂😂
2026-09-27 08:04:22
1
irene.sancho45
Irene Sancho :
ndo npo kwny situition hyo ya kurudiana
2026-09-27 07:55:59
1
millet6723
millet :
mm nilishauri baada ya 2 days wakapost na nyimbo ya daimond juu mtasubiri sana tuachene😂
2026-09-27 09:31:13
2
sporamaphie
spora :
wakirudian. wanaanza kukusema
2026-09-26 16:29:18
11
elizalumambo
Eliza Lumambo :
Tupungize ushaul kwenye mahusiano ya watu
2026-09-26 21:01:29
4
its..sagee0
its. sagee😜 :
niongee kwa kusimama au kwa kukaaa nina ushuhudaa😂😂
2026-09-27 04:59:30
2
neemaselina4
neema selina :
😂😂😂😂😂na siwasikilizi niachieni mm yaniue
2026-09-27 06:44:00
0
berthabarick3
Bety :
🤣🤣🤣🤣nmeambiwa nihahkikishe haturuduani🤣🤣🤣🤣
2026-09-27 07:51:59
0
saakhal09
🦋.سَخَل ٠٩🥀 :
lol😂💔
2026-09-27 07:13:04
0
user5300155581770
rosemary :
hujakosea kbc yan kama ulikuwepo
2026-09-26 10:53:56
1
nelyakayuni
winnie💕🌺 live ue life🙌 :
kafanana na mwalim wangu wa geography 🤣🤣🤣
2026-09-26 19:22:47
1
qeenjunior
Queen junior :
🤣🤣
2026-09-27 09:29:51
0
user3101107406146
Theresia3101107406146 :
boyfriend wangu katoa hela kwenye cmu yangu sh.laki 5na 30 nimemwambia sikutak tena tuachane lakin bado anataka tuendelee na mahusiano nifanye nin nimegundua si mtu mzuri namkwepaje naomba ushauri please siliaz😭 natembea sina nguvu miguun nalia ndani ya moyo sana.
2026-09-27 09:27:18
0
thuwa.rako
Jacinta :
kwa hili pia mm ninaushuhuda sijui niongee kwa kusimama au kwa kukaa
2026-09-27 06:44:23
1
princessmassawe5
Princess 👑 :
😂😂😂hata Mimi nina ushuhuda 😭
2026-09-26 11:44:40
1
pendo.amosi52
Pendo Amosi :
mimi uyooo kabisa
2026-09-27 10:37:34
0
mesalim.majid
Mesalim Majid :
😁😁😁😁
2026-09-27 09:04:39
0
happysulle8
happysulle350 :
Sawa mkuu umeeleweka
2026-09-27 10:19:43
0
julius.gitanu
julius@gitanu646 :
nimetoka kushauli rafiki yangu mwache flan ana mamb mengi itakuaje sasa
2026-09-27 09:35:51
0
magdalena.geofrey
Magdalena Geofrey :
Mbona unanisema
2026-09-27 10:49:38
0
user90242190422305
Dada d"003🩵 :
Dunia Ina mmb meng sana tufanye yanayotuhusu
2026-09-27 10:26:53
0
user1682592701311
💓 cutie :
😅😅😅mm ata naogopa kuambia watu tumerudiana na mbabaz watajiona wajinga😅...acha niwasuprise 😂
2026-09-26 20:48:34
0
To see more videos from user @gee06670, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About