@mamasubmeter_tz: 🏠 UNAMILIKI NYUMBA ZA KUPANGISHA? 🏢 Una apartment, commercial building au vyumba vya kupanga? ⚡ Unataka kusimamia matumizi ya umeme kwa kila mpangaji na kupunguza drama za umeme? MAMASUBMETER TANZANIA ⚡❤️ Suluhisho la kisasa la kusimamia matumizi ya umeme kwenye property yako! ✅ Single Phase & Three Phase Submeters ✅ Anti-Tamper System ✅ Relay System ✅ Inaonyesha matumizi ya umeme bila makadirio ✅ Fire Resistant ✅ Tunauza jumla na rejareja ✅ Installation inapatikana ✅ Warranty ya mwaka 1 🔥 BE SMART WITH YOUR ELECTRICITY! Usisubiri drama za umeme zianze. Chukua hatua leo! ⚡ 📍 LOCATION: Kariakoo, Dar es Salaam 📌 Lindi & Congo Street 📞 WASILIANA NASI LEO: 📲 Call / WhatsApp: 0713 130 595 🚚 Tunafanya deliveries ndani na nje ya Dar es Salaam! 🇹🇿 💬 COMMENT “SUBMETER” au tutumie DM kwa maelezo zaidi! ❤️ MAMASUBMETER Power your property the smart way. #MamaSubmeter #ElectricitySubmeter #SubmeterTanzania #LandlordsTanzania #DarEsSalaam
sisi tunaish 4 watatu wamefunga me natumia meter kuu jama umeme haujai nanunua umeme had nahis kuchanganyikiwa wenzang akhaaaa wana enjoy vip
2026-10-12 13:56:26
0
Jfour Mohd :
Kwa Maelezo Hayo Nmeelewa Vizuri Sana Ilikuwa Inanisumbua Sana Hii Nilikuwa Najiuliuza Mwenzangu Token Zake Zikiisha Si Atatumia Token Zangu Kumbe Kuna VEND Token Ahsant Sana
2026-09-26 20:07:02
1
S 💥 :
mama submetet cc tuko watatu lkn nataka kujifungi mwenyewe inawezekana my dear