@chiwa_j3: Ada yao ni nafuu, sio kama zenu hizo😂 Mimi sitangazi shule, waambieni wanitafute 0749027629 tuanzishe program hizi shuleni kwao.... Sisi ni Dodoma STEM Center, kampuni bora inayotoa mafunzo bora kwa watoto #trending #viral #fyp #fyppppppppppppppppppppppp #fypシ
Hii kitu computer engineering wanasoma mwaka wa tatu udsm 😁😁
2026-09-27 04:51:09
81
gee_bonnets :
nimesoma shamaliwa sec😭😭😭😭
2026-09-28 21:03:02
1
Naffy Silk. :
Huyo mtoto akikuletea homework umsaidie unaanza kutafuta IT kwanza🤣
2026-10-24 07:51:14
19
offisho yeye :
hii ndo shule ya mwanangu atakayo somea
2026-09-26 18:09:53
9
MATAU ELECTRICAL SERVICES :
Mimi aduino nimeijulia chuo😂😂
2026-10-28 07:09:32
0
hamy_tz :
walio hitimu wapowap kiongozi
2026-09-26 10:58:31
8
scolla_ cake point :
ndo atumie sim kama yangu hadi cover😂😂😂
2026-09-27 08:17:25
2
Jackie Danny :
wana hostel
2026-09-27 07:00:21
1
twin💕😍😘 :
Ada kiasi gani
2026-09-27 07:28:02
1
bensonmasamu :
shule Iko wapi,na ada zenu zikoje
2026-09-27 16:58:26
1
tiffame6 :
naombeni kazi jmn plz
2026-09-28 05:02:04
1
Bundala :
Mtoto anajua Arduino au nimesikia vibaya mimi ?
wakat watu wa vyuoni wanao soma Electrical Engineering au Computer Engineering ndio wanasoma hizo vitu 😂
2026-09-28 05:46:07
1
Fatma Hassan :
ada yake kaka ipojee tuletee watt wetu ukoo
2026-09-27 17:32:02
1
Dorah Gaitan :
inaitwaje nmlete mwanangu
2026-09-27 17:54:14
1
vickyngowi2 :
ina boarding
2026-09-27 17:38:51
0
halima :
ina sekondari
2026-09-27 04:52:27
1
pastory :
inaitweje hii shule
2026-09-27 19:20:02
1
dhunnun :
Mna boarding?
2026-09-27 14:40:41
0
Ally Urembo :
shule ipo wqp
2026-10-03 12:12:01
0
mapunda :
Hipo wapi na bei ngani
2026-10-29 11:55:56
0
kimaroprisiosa :
ipowap kwani
2026-09-27 07:37:40
1
pk :
mi siongei kitu but mwisho wa siku anayejua ni mungu
2026-09-27 07:07:30
1
Sam Khan Brown /Designa :
Iko wp
2026-10-26 05:21:48
0
MKALIWAHIZIKAZI :
Nambie ni Shule gani nimlete mwanangu Bro
2026-10-01 04:38:54
0
To see more videos from user @chiwa_j3, please go to the Tikwm
homepage.