mm niliona giza ghafla nikajikuta uwata hospital😂😂😂😂
2026-09-27 19:24:43
33
being_RIRI💅🤎 :
nguvu za mbalaga nkamu ghwangu😂😂
2026-09-27 13:21:13
49
Latifah_unique :
Ni kweli kabisaaa🤣🤣🤣🤣🤣yan anaweza kukutoa damu
2026-09-27 15:57:40
20
irene Boniface :
kuna mmoja ananichokonoa apa namtaman sana
2026-09-27 19:25:31
17
February27 :
nitafute mnyakyusa sasa😅
2026-09-26 13:16:07
11
Winnifridah chaz :
🤣🤣Nilikuaga nahama sasa mwenye gari kaja kakuta vitu nishafunga Tayari akaniambia sister ili kabati si mninga huu embu tutafute vijana ata watatu watusaidie kubeba 😁🙄nikamuangalia afu nikamwambia we tulia Kwani mi nafanya kazi gani shika upande wa juu mi nashika kwa chini uku akaniambia we una utani kweli utaweza kubeba ili nikamwambia we jaribu uone linafika alifiki 😂😂😂😂akuamini macho yake kabati lilivyofika kwenye gari bila kelele 😂nikamwambia bro mi ni mnyakyusa 😂😂😂mi sio wa dar 🤣
2026-09-28 08:45:48
9
Rahabu🦋🥀🍏 :
labda Mimi sio muhehe
2026-09-28 17:25:05
5
reginagwalupogo :
Mnyakyusa mm nilikua naitwa Jonsina huko shule😁
2026-09-28 10:18:10
5
Glory Fabian :
😂😂😂😂😂😂😂😂🙌 hao ndio wifi zang, nawapenda Tena nawapenda sanaaaa👌 sijutii kuolewa nao coz nimezaa wababe
2026-09-28 18:44:59
8
kashinde :
labda mie sio mnyamwezi
2026-09-28 14:09:57
1
princess d :
wanyakyusa tujuane
2026-10-01 10:15:34
20
the river of pearl ❤️🔥 :
tena hatutaki dharau uwii
2026-09-27 18:55:14
2
Ree kamanga :
ulisha wai kujalibu nn😁
2026-09-28 18:56:56
0
melanin_cathy :
🤣🤣🤣🤣🤣 Me uwa sipendi kupgana ila ukilianzisha namaliza kma faras😁👌🏼
2026-09-28 15:55:01
1
iam veeh :
mm kwanza naogopa kupigwa jmn🙌
2026-09-28 17:16:59
1
pi -ventur :
labda mim sio mkurya😂😂
2026-10-20 14:05:51
2
Mrs J :
umewasahau wakurya😂😂😂
2026-09-28 12:37:18
1
misstuntu :
unavyokuja ndivyo tunakupokea na hatuogopi mtu
2026-09-27 20:56:25
0
Christer trends🎁🛍️ :
Hii nayo ni kweli kabisa😂💔
2026-09-27 19:51:15
2
kendrick mom😘 :
Tunakubonda kweli
2026-09-27 18:54:06
2
Dr.Cherry🍒🦋 :
labda mimi sio msukuma tutapigana
2026-09-27 20:27:39
2
S O N E L O :
kuna mmoja alitoka tukuyu akafikia pale Sinde-road ya kwenda uwanja wa SANGU si kuna vijana wakataka kumpokea Mizigo yake weeeh aliwagusa mikono wale wakuu waliacha ndala wenyewe😂😂
2026-09-28 06:19:09
1
To see more videos from user @dorrymultipurpose, please go to the Tikwm
homepage.