@allanyanga12: Baada ya kukaa nje ya uwanja kwa muda mrefu kufuatia upasuaji wa goti uliofanyika nchini Afrika Kusini, daktari mkuu wa Yanga, Moses Etutu, amethibitisha kuwa Dickson Job amepona kwa asilimia 100. Ameruhusiwa kufanya mazoezi magumu na kikosi cha kwanza chini ya Kocha Mkuu Manqoba Mngqithi. WANANCHI sasa tunasubiri kwa hamu kumuona tena kikosini akishirikiana na beki mwenzake Ibrahim Bacca, huku uamuzi wa kuanza kumtumia kwenye mechi za mashindano ukiwa mikononi mwa benchi la ufundi. #viralvideo #yangasc #sports

Allan Yanga
Allan Yanga
Open In TikTok:
Region: TZ
Saturday 26 September 2026 09:14:39 GMT
4143
268
1
2

Music

Download

Comments

user8947327138054
pretty Bips♥️ :
mwamba huyo 💛💚💛
2026-09-26 23:34:25
0
To see more videos from user @allanyanga12, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About