Mungu nisamee pale nilipopita pagumu,nilitamka mengi na yasiyostahili
2026-09-28 07:42:25
15
makini :
Mungu nisamehe nilinung'unika san nilipo patwa na majaribu na changamoto nilinena maneno magumu san bwan naomba unisameh kwa kutumia kinywa changu vibaya na watu nilio wakosea wape nafasi ya kunisameh na kusahau na isiwe ndoo njia ya kufunga baraka zangu Mungu nisameh naomba baraka zangu zirejee tena katika maisha yangu🙏
2026-09-29 08:25:11
7
faithlyimooo :
Mungu nisameh nimenung'unika sana leo
2026-10-04 17:33:41
4
user1600920026152 :
Ee Mungu wangu naomba nisamehe nilipo tumia kinywa cangu vibaya nisamehe Mungu wangu
2026-09-28 16:12:51
21
Faith :
kushukuru katika kila jambo ina maana kubwa sana
2026-10-06 09:08:50
1
Ryan Glow Empire :
AMEEN MUNGU naomba nisameh pale nilipokosea
2026-10-01 17:29:18
3
Glory Julias :
baba yang katika jina la YESU naomba unisamehe nimesha kulalamikia sana
2026-10-01 08:07:03
2
anahmushy195 :
MUNGU BABA naomba nisamehe nilipokukukosea kwamawazo,kwamaneno nisameee BABA
2026-09-30 14:08:31
3
Andrew :
Mungu najua ili neno lilikuwa kwa ajili yanguuu
2026-10-10 23:29:57
1
aIvone Meshack :
mungu nisamehe pale nilipo kukosea 🙏
2026-09-28 17:33:19
1
Makanda Mlenda :
MUNGU LINDA MDOMO WANGU
2026-09-28 17:02:49
1
Dollar bills 💸🤗 :
Amen, Amen and Amen 🙏♥️
2026-10-03 20:41:50
1
estheribrahim403 :
Ameen Mungu akutunze baba🙏
2026-09-27 10:46:09
1
felie grow 🪴 :
eeeenh MUNGU NIREHEMU😢
2026-10-04 09:18:00
1
mtenziR :
Ameeeeeeeeeeen ❤️❤️💕🌷🌷🙏
2026-09-28 06:01:35
2
Helena Didas :
amen
2026-09-28 07:13:40
1
iam_truebaraka :
Mungu Nisamehe kama Kuna sehemu Nimekunung'unikia,Ameen🙏
2026-11-16 06:58:59
2
Agness :
Amina mungu awena wewe kila hatua
2026-09-27 20:07:26
2
prisca tayari :
amen amen,,Mungu anibadilishe nisiwe na manung'uniko
2026-10-03 09:34:20
2
user2631708737281 :
amen asante baba kwahujumbe waleeo mungu akupe mahisha marefa sana
2026-10-03 11:09:18
1
mtumishi :
ubarikiwe
2026-11-12 17:15:04
1
Reen🦋 :
amen baba yangu najifunza
2026-10-25 13:17:56
1
tedmsamvu :
Ameni asante nimevuka Kwa imani 🙏🏽
2026-09-27 18:40:36
1
To see more videos from user @winfridasetingmail, please go to the Tikwm
homepage.