Allah tunakuomba utepushie mbali na mvua izo tunakuomba waja wako
2026-10-03 19:02:17
32
user2472961012812 :
Yaallah tufanyie wepes katika hili yaaraby🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
2026-09-26 10:50:52
74
shaaa balli :
allha twakuomba utusaidia kuondoa mvua ya elinino
2026-10-05 15:51:34
12
Zannyprincess :
yarabi wanusuru wa Morocco na sisi sote
2026-09-29 05:55:55
19
Mwajuma Kamungu :
Ya Allah tuepushe na mvua za elmino waja wako tutangamia Ya Allah tunakuomba Allah kwa jina lako tukuf Allah utuswamehe mazambi yetu, utuhurumie, utuepushe na shar zote ibarik tanzania yetu na utupe kher za kila aina utuepushe na mabaya yoye Amin
2026-09-26 12:37:50
11
hamis :
eee mwenyez mung fusamee makosa yetu
2026-09-27 06:52:05
18
ashura_kalole :
eeeh allwa tuepeshe na uwaokoe walio katika hali hii
2026-09-26 12:42:35
17
Monica Mcharo :
ALLAH tuepushe na mvua za el nino
2026-09-26 13:15:48
19
allykwezi :
ew mwenyez mung tuxameh xix wajawak kwan sis xilolt walxichochot kwak tusameh
2026-09-26 13:14:18
25
Zainabu Juma :
mungu tuepushe na mvua hizi zenye uharibifu na maafa Amin