@efathatv: Wangapi mnasema ni mkono wa Bwana umehusika na maisha yenu ? Milango itakuwa wazi hapa Kanisa la Efatha Mwenge kuanzia saa mbili asubuhi kwa ajili yako Karibu umtukuze Bwana yote mema aliyokutendea Kama utakuwepo tujuane kwenye uwanja wa comment # Efathatv # TheyearofdoingGod'swill #WeBringTheWorldToJesus