@cawabemedia_: anasema Sheikh @youngsayeed1

cawabemedia
cawabemedia
Open In TikTok:
Region: TZ
Saturday 26 September 2026 10:41:26 GMT
11869
438
64
5

Music

Download

Comments

binalliy
binalliy :
Kwenye chakula kubadilishana mapoti ni ujiran mwema tu idd na sikukuu zao huwa MAPOTI yanapishana ila kusherehekea hapo huwaga kila mtu na DINI yake
2026-09-26 12:32:03
3
nassormonroe5
Nassor Monroe :
Tena wakati wakula mnaambiwa fungeni macho tuombe... Kisha huomba kwa jina la Yesu na Yesu si MUNGU!!! Sasa bado hamtaki kutu elewa tu! Ss huomba kwa jina la Mwenyezi Mungu... wao huomba kwa jina la Yesu..
2026-09-26 16:27:58
4
1stliboy
lastborn :
Christmas haipo NI SAWA je kuswali Tarawee kwenye Quran ipo?? Tasbihi je, ipo kwenye Quran, nani aliwaambia kusujudu juu ya zulia, sakafu badala ya ardhi?? mapokeo kwenye imani yapo cha msingi kila mmoja afat lake
2026-10-11 22:53:46
0
athanas.lusalago
Athanas Lusalago :
kwani maulidi imeandikwa wapi said
2026-09-26 13:18:09
1
user1108161262065
Prince Charles :
Si chakula tu. Tumeoleana pia. Sisi ni ndugu.
2026-09-26 16:53:16
1
by_the_way_____
Midnight :
Dini sio mbili.
2026-09-26 10:57:47
2
user9908231770995
Alphonce sichalwe :
ao niwachoyo tu
2026-09-26 11:12:45
0
mzee.litunungu
Mzee Litunungu :
ACHAKUZUNGUKA IKO HIV MAKAFIRI WATAPKA. NGURUWE OR. WATACHINJA KUKU KIAJABU SIO KWA JINA LAMUNGU. NDIO MAANA. HATUENDI
2026-09-30 12:32:04
0
lupenzamoses
Lupe Lodman :
Wenzio wanakula na mapambio wanaimba....Na Iddi ss tunakula kama kawaida
2026-09-26 15:45:07
0
mussa.killo1
Mussa Killo :
mimi ni angalia maandio kwenye koran sherhe zilizo tajwa ni idi na pasaka ilee lakini hii ya krsmas. haipo katika taurati zaburi injili wala qraani sasa hapo tunajumuikaje kusheherekea?
2026-09-26 12:38:22
2
user8859906787566
hasani :
wew ndugu yangu allah akulinde
2026-09-26 20:29:20
2
username02v8
Version :
sio ubaguzi kila mtu abaki kwenye misingi yake
2026-10-02 07:16:29
2
bin.issa.ktchen.d
bin issa ktchen dish :
Qur-ani yetu imeshatuwekea kila kitu bayana
2026-09-26 14:00:51
2
bashirimassawe
Bashiri Massawe :
hongera shehe kwa majiub pow
2026-09-27 08:31:23
2
aya96978
Aya :
shehe hongera [Pray]
2026-10-15 21:48:06
0
salimomary266
salimomary :
saidi kamaliza
2026-09-26 12:03:34
1
abu_abdirrahmani
abu abdirrahmani :
Uislamu una taratibu zake , tukifata mnavyotaka tutakua hatujielewi
2026-10-08 17:33:54
0
user7993540073366
user7993540073366 :
saidi sasa unaelekea vizur
2026-10-07 13:58:57
0
david.marwa
David J. Marwa :
majibu ya hovyo mpaka muuliza swali anashangaa
2026-10-22 20:53:14
0
user2541931849382
أبو الأقصم :
Ahsanta akhiy alkariym
2026-10-02 13:40:17
0
cadabra9090
cadabra9090 :
Shida ina kuja wakita muwaonyeshi maulid kwenye qur ani na wao au kwenye hadithi
2026-10-05 05:33:38
0
vicentmrdolephoneaccesso
vicenthizzamrdole2pu :
nonsense
2026-10-04 07:55:04
0
user3628199292204
ismail :
mungu hajazaliwa wala hajazaaa
2026-10-03 11:08:04
0
hamzathedon3
HAMZA THE DON :
kaongea ukweli
2026-10-03 07:18:20
0
senyagwa.elly
DG STONE@79@ :
me naona kila mtu aamin din yake tu
2026-09-26 11:56:44
0
To see more videos from user @cawabemedia_, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About