@paza_sauti_media: Mwenyekiti wa Jukwaa la Wahariri Tanzania (TEF), Deodatus Ballle amesema hayo Alhamisi, Septemba 24,2026 jijini Dar es Salaam katika kikao baina ya wahariri wa vyombo vya habari na Mamlaka ya Udhibiti usafiri ardhini (LATRA), ulioandaliwa na Ofisi ya Msajili Hazina.

Paza Sauti
Paza Sauti
Open In TikTok:
Region: TZ
Saturday 26 September 2026 10:45:48 GMT
118803
3989
523
158

Music

Download

Comments

nestory8655
nestory :
jina la movie please guys
2026-09-26 19:23:42
0
erickafrica
ErickAfrica mc :
jamani mbona hamsemi chochote [Laugh approved][Laugh approved][Laugh approved]
2026-09-26 18:08:33
1
raviver14
Chris jr14 :
Ila mwee hiz A I
2026-09-26 18:44:49
0
allenernest09
Allen Ernest :
mmmhhh hukukomoana
2026-09-26 19:48:35
0
clipperking381
Andrew mojiwa :
Zanzibar ipi Hiyo? MAANA ss tuko huku
2026-09-26 12:28:32
30
eden.herbal
Eden Herbal :
Wez wa mali za uma fain yake shiling ngap?
2026-09-27 04:31:10
6
emmanuelmunuo2
Emmanuel munuo :
Jengeni barabara kwanza
2026-09-26 11:56:53
17
abdul.chidy
ngwelo captain :
meza mnayojaribu kuitikisa ina vinywaji gharama sana wakuu
2026-09-26 17:34:05
15
user4928304085900
MC Soldier boy :
mm n bodaboda lkn huyu jamaa ana hoja nzuri,sisi boda tumezidi ujinga sanaaa,
2026-09-26 11:49:51
38
burhan_abdallah8
Burhan_Abdallah8 :
Oya wazee, Huyu jamaa anazungumzia Zanzibar ipi, Mbona tuliopo Zanzibar hatuna hiyo taarifa.?
2026-09-26 13:38:01
29
johnpatrick0897
John Patrick :
mmmmmmmmmmmmmmm
2026-09-26 15:58:58
0
abdylugete
abdylugete :
huyu anae ongea ni nani
2026-09-26 12:11:16
5
brunoboe1
Yule boe :
vp wenye magari nao wakikosea magari yao yanauzwa pia
2026-09-26 13:50:30
10
saidkisumo45
said kisumo :
mafuta zanzibar shingap na bara shingapi
2026-09-26 16:08:31
8
kelvin.hamisi
KELVIN NJELA :
sio boda boda mm lak tatu alooo tupate viongozi upya mungu tusaidie
2026-09-26 13:51:25
7
credo__01
Credo__01 :
Pia waendesha magari waache kuchat na kuongea na simu kwenye gari maana utawamaliza watumia pikipiki🤔
2026-09-26 13:55:17
6
nextitsme
nextitsme :
hamna serikali hapa
2026-09-26 13:46:23
5
home.boy1746
home boy :
Sina usemi lakni one day nitasema
2026-09-26 18:15:46
2
prince.essau05
𝙥͓̽𝙧͓̽𝙞͓̽𝙣͓̽𝙘͓̽𝙚͓̽ essau :
iv huyu nae ni kiongozi katika nchi hii
2026-09-26 11:42:04
5
user9596577752910
user9596577752910 :
mbona bei za umeme na maji pia ni tofauti mbona llo haulisemi
2026-09-26 18:51:01
3
visit.tanzania7
Mr marcel💥💥 :
Wanangu wa umeme mnamwelewa huyu waziri😂😂
2026-09-26 19:17:09
0
hamad.abdallah754
Hamad Abdallah :
magari ya serikali yauzwe yakikosea sheria.
2026-09-26 17:54:20
4
user75114550075306
dotto yusuph masanja :
Zanzibar ndogo sana huwez kuringanisha na bara
2026-09-26 14:20:35
3
sangulorashoo67
Sangulo Rashoo :
anazungumzia Zanzibar ipi🤣
2026-09-27 05:39:49
1
herman.kifyasi
herman kifyasi :
Hiii nchi tukae tukubali,, RIP,, Magu wetu Mungu akutunze
2026-09-26 17:52:38
1
To see more videos from user @paza_sauti_media, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About