ALLAH SW atujaalie waislamu wote tuingie Pepo yake.ALLAHUMMA AMEEN 🤲
2026-09-28 03:41:18
1
@ B T KISHKI FANSI😍 :
😂😂🤣🤣🤣🤣Ila Ismail
2026-09-26 11:39:59
1
muuh🕋🕋🕌🕋 :
pepo ina milango 8 kam kwely weka like yako apo
2026-09-26 11:27:36
4
user6614062239322 :
PEPO Ina milango 8 Moto ndio una milango 7
2026-09-26 11:26:00
2
queenzaya :
pepo Ina milango 7
2026-09-26 11:06:11
1
Ishaaal001🇸🇴 :
kama ina mplango mmoja tutaskumana😂😂😂
2026-09-28 07:10:44
0
Hamadou :
uyo labda umuulize kabati la chips Lina milango mingapi
2026-09-28 06:42:16
1
mama nawthar :
🙏🙏🙏
2026-09-26 12:13:07
0
ramazanicgkause :
🥰🥰🥰
2026-09-27 22:26:31
1
mudrik_Bob :
Ina milango 8👇🏻
1. Babu As-Salat - Mlango wa Swala
2. Babu Al-Jihad - Mlango wa Jihadi
3. Babu Ar-Rayyan - Mlango wa watu waliofunga Swaum
4. Babu As-Sadaqa - Mlango wa watu wa kutoa Sadaka
5. Babu Al-Hajj - Mlango wa Mahujaji
6. Babu Al-Kadhimina Al-Ghaidha - Mlango wa wanaojizuia hasira na kusamehe watu
7. Babu Al-Ayman - Mlango wa kulia ambao hakuna hesabu
8. Babu Adh-Dhikr / Babu Al-Ilm - Mlango wa wenye kumtaja Mungu na wenye elimu
2026-09-26 12:10:52
3
To see more videos from user @ismaildedes, please go to the Tikwm
homepage.