sikuhizi hawajambi sana [Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy]
2026-09-27 07:01:22
0
hamqaati :
ALLAAH AKUBAARIKI WEE SOMATU HATA UKIKOSEA ILA DAAWAH IMEFIKA
2026-09-26 14:42:41
17
fau :
mungu nipe mume kama nafu boy maana mimi ninamambo ya hovyo😆
2026-09-26 12:01:04
23
Sazuu59 :
Umeoa lini ww
2026-09-26 14:30:54
7
twakhab :
mwanetu hii styl umepotowa wapi
2026-09-26 16:37:37
8
حسن بن الدالة👳🏿♀️🔗🤍🌹🔐❤️ :
mwamba we noma mpk nimekufoloww we noma me sifollow watu ovyo ovyo baba nimekukubali ✊🫡
2026-09-27 07:31:43
1
Annuary :
nafu tuoneshe mkeo
2026-09-26 11:18:35
5
malish :
Allah azidishe elim zaidi inshallah 🤝🩵
2026-09-26 11:08:34
19
Abuu🍁 :
Nifanye Mipango NIOE..
2026-09-26 14:55:59
5
Mr Jey ♠️. :
Nikajua leo watajamba sana kumbe leo kishekhe Mr nafu 👊
2026-09-26 11:04:56
13
Shamo B :
hovyoooo😂😂😂😂😂😂
2026-09-26 11:40:36
3
Abdul m❣️💞💕💖💘 :
ujumbe mzur Kwa Wana wake waliopo kwenye ndoa
2026-09-26 12:06:17
11
chibu Smart :
kwakweli nimejifuza ki2
2026-09-26 12:38:03
5
Mwikizu brandi🌎 :
Nikihisi mchakato nakuchakata🤣🤣🤣
2026-09-26 15:52:42
5
p.achiduke :
uhkk bro
2026-09-26 18:36:41
2
Baddy :
mashaallah ilimu kubwa hiyo umetupa leo
2026-09-26 13:13:09
5
issaeagleboy :
aisee we jamaa umeletwa na mwenyezimungu ili uthibitishe kuwa mitandao ya kijamii sio mibaya bali baadhi ya watumiaji wachache ndo wanaiharibu mitandao yetu
2026-09-26 17:08:38
12
Ramadhan JK :
Nakubari kak
2026-09-26 11:03:00
5
Hashimu Mgelwa :
mashallah mashallah
2026-09-26 19:26:46
2
fireboyronaldo :
wwe kaliii ALLAH akulipe kheir🙏🙏
2026-09-27 04:58:43
3
sofiya omari :
😂😂😂 Allah awaifadhi inshalla
2026-09-26 18:45:03
3
@kisarida_07 :
watajamba sanaaa😂
2026-09-26 18:00:00
2
Bukhatir Junior :
mashaallaah
2026-09-26 21:42:55
1
Me amor 😍💫❤️🩹 :
mashallah allah akuwekeee kakz
2026-09-26 18:26:00
3
To see more videos from user @mr.president_nafuboy, please go to the Tikwm
homepage.