@innocent_raphael: TBT: Mwaka 2018, Paul Makonda akiwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, alitoa msimamo mkali kuhusu suala la ushoga, akilieleza kupitia mtazamo wake kuhusu kulinda maadili na utamaduni wa Tanzania. Kauli hiyo ya wakati huo inaonyesha namna ambavyo viongozi walivyowahi kuingia moja kwa moja kwenye mjadala wa maadili ya jamii na nafasi ya Serikali katika kulinda misingi ambayo jamii inaiona kuwa muhimu. Miaka imepita, lakini kauli za vIongozi kuhusu maadili, utamaduni na mwelekeo wa jamii zinaendelea kuwa sehemu ya historia zenye mantiki Tanzania. LINDA MGONGO WAKO, YOU BETTER WATCH YOU'RE.... In Dudu Baya Voice INAENDELEA.... #siasa #tanzaniantiktok🇹🇿 #innocentraphael #innocentraphael