@zebra_restaurant_: JINA:MDUARA WALI (ORIGINAL ) hii inakua na mchanganyiko wa Mandi, Pilau, Biryani na Wali Maua, unapewa na sauce ya Biryani, njegere za Bluband na Special Recipe, Zebra Sambaro, Salad, na White sauce yenye secret recipe moja matata sana: Packages zinakua kama ifuatavyo:- WATU 3/4: BEI 48,000/= Hii inakua na Kuku Mmoja wa Kisasa wa kukaanga na Nyama ya Ng'ombe ya kukaanga Kutosha kabisa watu 3/4 WATU 5/6: BEI 65,000/= Hii inakua na kuku mmoja wa kisasa wa kukaanga, nyama ya ng'ombe kilo 1 kukaanga, na vipaja vya kuku/Drumsticks 5 vya kukaanga. WATU 5/6: BEI 75,000/= inakua na kuku mmoja wa KIENYEJI wa kukaanga, nyama ya ng'ombe kilo 1 ya kukaanga, na vipaja vya kuku/Drumsticks 5 vya kukaanga WATU 8/10: BEI 95,000 inakua na kuku wawili wa kisasa wa kukaanga, nyama ya ng'ombe kilo 2 ya kukaanga na vipaja vya kuku/Drumsticks 10 vya kukaanga. WATU 8/10: BEI 115,000/= inakua na kuku wawili wa KIENYEJI wa kukaanga, nyama ya ng'ombe kilo 2 ya kukaanga na vipaja vya kuku/Drumsticks 10 vya kukaanga RATIBA: JUMANNE ,JUMATANO, ALHAMISI,IJUMAA,JUMAMOSI, JUMAPILI KUANZIA SAA 6 MCHANA HADI SAA 3 USIKU, DELIVERY:Gharama za usafiri ni juu ya mteja na pia utalipia sinia sh 5,000 kwa ajili ya take away package)

ZEBRA RESTAURANT
ZEBRA RESTAURANT
Open In TikTok:
Region: TZ
Saturday 26 September 2026 11:13:21 GMT
6623
324
4
1

Music

Download

Comments

princessnah27
Nelly cute💖 :
Kwan hii zebra ya kinondon au
2026-09-26 11:56:52
1
stopahtz
akramally443 :
iyo lini iyooooo 😂
2026-09-26 12:21:24
0
To see more videos from user @zebra_restaurant_, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About