CLEAVER@SEA 🇺🇸 🇰🇪 🇪🇺 :
That's me when my parents died and left me with my grandma,,then she took me to my uncle who was working with NHIF,man hata kufukuzwa nikalala kwa zizi la mbuzi several occasions just beccause nimechelewa kupikia watoi wake ju nilichelewa shule tukiwa na evening preps,,,wakikosana na bibi yake hasira zote anatoa na mimi,, slight mistake it was a war mpaka kila time nikifanya kitu ni woga nikiona nitapigwa ama kunyimwa food,napika food wanakula kwanza then chenye kitabaki ndio nitakula,,viatu ilikua ni akala throughout,,na unaniambia niende kwa hao watu,,,you're joking,,,
2026-09-26 20:20:54