Ila jamen kule kwngne tunaambiwa weusi hatuogi huku nako tusiolewe
2026-09-26 21:05:50
34
shakeerah🤗💝🤗 :
mashallaaah
2026-09-27 06:18:48
3
Ibsam🫦🌹 :
Kwaio sisi twende wapi jmn 😂😂
2026-09-27 07:42:58
1
Farida :
Wanawake weusi tuna viti vyetu peponi wala maneno ya watu yasikufanye ujione huna thamani.. Waume wapo huko tutawakuta in shaa Allah. Muhimu jitahidi sa ibada na kujikarubisha kwa Mola wako🥰