@boilee_: wanaumeee! kuna nilichosahau?#boileetips #viral #fyp #tiktoktanzania🇹🇿 #tiktokkenya

Boi Lee
Boi Lee
Open In TikTok:
Region: TZ
Saturday 26 September 2026 11:37:53 GMT
90752
6062
221
667

Music

Download

Comments

officialme871
official me :
kama sisi tunavopenda kutumiwa hela bila kuomba😁
2026-09-26 14:18:33
209
user9518509947311
Norah :
tulifanya hvy na bado tukaonekana mafala
2026-09-26 12:50:31
56
cute_lyimo_23
Cute lyimo 🦚👄 :
wangu nikimuliz umeamkaje anasem kwakufungua macho umeshindaje anasem sijashinda😂
2026-09-26 14:03:38
28
love448606
missi 🥰🥰lili :
sema wew ndounapenda ivo😂😂
2026-09-26 12:28:24
26
official_romeo_tz
𝗥𝗢𝗠𝗘𝗢 :
Wadada popote mlipo huyu mshkaji anawadanganya
2026-09-27 22:54:58
13
firstbornwrong1
️Ave cute❤️‍🔥😘😘😘😘 :
nsha Fanya hv mara kibao na Leo nimenyamaziwa😏
2026-09-29 14:17:47
2
rosezegega
ROSEZEGEGA :
sasa huyo unaymuongelea ni mwanaume mwenye malengo na wewe tu ...ila kama hana malengo na ww .....hata ufanyeje hamna kitu
2026-09-26 13:33:37
24
aivinny86
Aivinny :
Nyooo ety kuomba ruhusa mm sio mke hajanioa😂😂😂
2026-09-27 12:52:51
4
queenelly05
Queen👸♥️ :
mm hiyo ruhusa jmn nisamehen 🤣🤣🤣🤣
2026-09-26 14:06:55
9
vannygirl36
vanny💕girl :
nasis tunafurah sanaaa kutumiwa ela bila kuomba
2026-10-03 17:22:28
0
user1596800438412
≈Mârïã@♥ :
kwaiyo nikiwa nakaa kwetu namwomba ruhusapia☺️
2026-09-26 12:40:40
9
scentsbykaluchy
Leyla kaluchy❤️ :
muwe mnatuma pesa bila kuomba piaa🤣
2026-09-28 21:24:19
2
msney35
@ney💫 :
hiy nay ya kuomba ruhus nd nitoke imekaa kishamb San kwang aisee hjanioa bn
2026-09-26 13:42:46
5
lesa1553
Lesa :
siku nikipat baby nitakuwa nafany hiv ngoj ni save video hii nisisahau😂😂
2026-09-28 21:14:59
0
thyfat25
thyfat@25 :
me hana picha yangu hata moja😂😂
2026-09-26 12:38:26
7
lucykyamba
Lucy kyamba :
Kwa mwaume anaye jua kuhudumia
2026-09-27 19:06:42
1
cachoprahmoshygmail.com
cachoprah moshy2026 :
mhuu ambao tupo kwenye mahusiano ambayo atujui yanahusiana na nini🤣🤣
2026-09-29 20:27:56
2
user5146103876524
mama p :
akikuchoka anakuacha tu ata umfanyie nn
2026-09-26 15:50:07
1
katakizais
la déesse N :
yote hayo nilikuwa naya fanya mwisho akarudiana na ex wake☺️😊
2026-09-29 12:57:07
0
officialal13
Asiaalute :
Aseee saivi hamueleweki bhana mniache niishi nitakavyo
2026-09-28 20:51:44
0
user8447737127996
neyra :
sijaona mwanaume wa kumfanyia hivo apa bongo
2026-09-28 18:07:10
1
levinamrema350
it's omah 💜💜 :
nikimtumia picha au maua anareact 👍
2026-09-26 15:01:17
2
ashraf....aik
Kimweri :
kweli nna mwanamke na nimuoe sasa .....maana hivyo vyote hapo anavifanya daily
2026-09-26 21:38:44
2
elizabethisack691
Elizabeth Isack :
yote nimefanya, lakini bado alienda kwa yule asiejali[Pray][Pray]
2026-09-26 14:43:57
4
fredrick1wizzy45
Fredrick wizzy45 :
wakwaza leo
2026-09-26 11:46:53
4
To see more videos from user @boilee_, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About