doctor if want my wife to get pregnant and she started to seen her period on 11th of October what are days doctor help me there thank you
2026-10-13 18:49:28
0
It's Naiyla🌴🌴 :
siku 16 je
2026-09-28 13:57:32
1
claudia baby :
mimi ndosielewagi hayo mambo apa nawakike wanne
2026-10-11 00:13:01
2
AggyMakuya :
Huo mzunguko wa siku 28 ndiyo mimi, Nilishiriki tendo siku y 11 lakini nilizaa mtoto wakiume, Pia nikashiriki tendo siku ya 12 nikazaa tena mtoto wakiume, Hapo ikoje?
2026-10-14 12:12:14
0
Lavender Mwangome :
kuhusu mtoto wa kike au kiume Ni Mungu ndie anapanga
2026-10-08 14:48:22
0
mwana❤💋💓 :
nmekuona kaka akeee
2026-10-10 16:40:10
0
miss Martha tz :
kwa mzunguko wa siku 30 je
2026-10-09 11:34:22
2
Tabia Tabia673 :
sikuhiyo ya 14 miinilimpata mdada
2026-10-09 07:03:20
0
kiangimary :
na wale mp inayoishia siku mbili mzunguko unakuaje
2026-10-14 17:15:59
0
Doreen Mosha :
je siku ya 16,17 na 18 ni mtoto gani
2026-10-10 14:00:06
0
CAREN :
mzunguko wa siku30
2026-10-14 03:38:14
0
NOELA KITAGIRA :
namie sielewe Niliona 10 minapenda nibebe mimba ya wakiume
2026-10-14 01:53:21
0
rebeckmabisi :
je kama unaingia tare 27 mtoto wa kiume tar ngap
2026-10-05 19:03:40
0
shalon_designs :
Lzm nikufow umenifurahish ulivochez
2026-10-14 07:24:22
0
Miss Lyn :
Amekosea kuandika namba kaandika mzunguko wa siku 29 na sio 28 angalia kwa umakin
2026-10-09 09:13:38
0
Mama Naa collection :
uongo tu tumefany sana hayo mambo
2026-10-12 16:00:00
0
It's Naiyla🌴🌴 :
nina mzunguko wa 28 nqingia siku4 nahitaj mtoto wa kiume
2026-10-08 11:47:43
0
fides :
KWA MUDA NILIOKANYAGA LEBA SIAMINI KATIKA TAREHE HIZO , NAHISI NI MUNGU TU
2026-10-12 11:29:56
1
Susan Jonathan :
uongo huo me siku ya 11 na nikapata boy inategemea na mbegu za mwanaume
2026-10-14 14:30:52
0
BHT. LND :
me nahitaji kupata mtoto wa kiume kaka nifanyej
2026-10-14 12:55:22
0
Amina Mdoe :
kwa mzunguko usieleweka je mara 28 mara 27 mara29
2026-10-14 12:11:23
0
martine veterinaire :
jambo docteur
2026-10-13 18:24:10
0
tukulamba :
mungu TU ndo anaamua akubadilishie
2026-10-13 13:05:01
0
Happy Macha :
kweli kabisa
2026-09-26 11:57:45
0
To see more videos from user @mu_health, please go to the Tikwm
homepage.