@lutystar1: KILIO CHANGU Part 69 “Baba amesema kesho niende nyumbani…” ❤️ Nadia anamwambia Dorian kuhusu mwito wa baba yake. Dorian anataka kwenda pamoja naye, lakini Nadia anaamua kwenda mwenyewe. Wakati Dorian akipanga kumtembelea Precious, Nadia anaamini jioni atakuwa tayari amerudi. Lakini… Baba Nadia anamuitia nini? 👀 Sehemu inayofuata inaweza kubadilisha mambo. ❤️🔥 #trending #storytime #SwahiliDrama #lutystar1 #AfricanDrama
Lutystar
Region: TZ
Saturday 26 September 2026 11:52:16 GMT
Music
Download
Comments
bakharesamilanzi :
me nataka enjoy ajutie kumuacha dorian
2026-09-26 13:48:45
3
R💕O❤️K💕Y ❤️J💕A💕N❤️❤️ :
enjo warudiane na dorian
2026-09-26 18:43:37
3
Mr G🇹🇿🇹🇿 :
naomba sura ya dorian irudi kam mwanzo sas
2026-09-26 15:46:29
1
📌ℕ𝔸𝕐𝔸ℕ ℙ𝔸𝕃𝕄𝔼ℝ💥💫 :
𝚗𝚊𝚙𝚎𝚗𝚍𝚊 𝚍𝚛𝚎𝚜𝚜𝚒𝚗𝚐 𝚜𝚝𝚢𝚕𝚎 𝚢𝚊 𝚎𝚗𝚓𝚘
2026-09-26 16:26:55
1
Ila dorian na nadia hata hawaendani ukweli usemwe, n huyu Dorian soon namwona atadondokea kwa dada wa kazini namwonea huruma nadia majuto yaja
2026-09-26 12:32:50
12
🇮🇳meet hooda🇨🇩 :
nakuomba fanya uwezavio nataka Dorian arudiyane na ejo tafazali nakuomba sana
2026-09-26 12:26:27
28
Heart favee🫰 :
nan mwingn kagundua Sammy nd wa profile
2026-09-26 12:36:05
7
DESTIN meshack drc :
kabisa dorian na Nadia wanapendeza sana
2026-09-26 12:54:45
20
galchild :
sipendi ndoa ya dorian na nadia ,,naomba enjo arudi😁
2026-09-26 12:33:48
20
Lydia :
next plz
2026-09-26 12:27:15
1
Ornella shagali :
next please
2026-09-26 12:44:36
1
🌹Girlfriend🥀🌷❣️ :
enjo na Dorian warudiane
2026-09-26 15:15:13
3
Jeff bøø :
Dorian shikilia Nadia 💯
2026-09-26 14:26:17
5
Saada :
nampenda nadia anavaa mavazi ya stara na anaupendo 🥰🥰
2026-09-26 13:35:19
8
Big yaa :
hivi vipnde naon vina maliz mapem sn
2026-09-26 18:10:46
2
DEE🤍🇹🇿 :
Dakik 9 leo mapemaaaa
2026-09-26 12:03:31
6
biga :
bro maliza hii kitu ishaanza kuboa Anza dude lipya
2026-09-26 11:59:50
7
aisha ali mohammed :
dorian usimuach nadia
2026-09-26 13:57:08
2
rodriguezmuhindo38 :
naku omba sana kakangu dorian usi mwache Nadia usi muumeze usi vunje ma amuzi ya Nadia
2026-09-26 12:35:23
5
ummy hajra💞 :
napenda Dorian na enjo ila Nadia hapan
2026-09-26 14:13:15
8
happy wendelin :
leo nmewah wahi😂
2026-09-26 11:57:13
7
nin@cute :
Ila enjoy anajua kuvaa kwel anajua kupendeza
2026-09-26 12:31:54
4
💜💜 :
mbona nguo ya nadia inabadilika mara kwa mara
2026-09-26 12:36:37
4
Kiprotich :
Huyu Nadia mrembo
2026-09-26 17:44:33
1
Azizi Ally :
we acha na mimi pia
2026-09-26 12:02:28
2
To see more videos from user @lutystar1, please go to the Tikwm
homepage.
© 2021-2026 TikWM. All rights reserved.