@cmctv_tz: Hayakupita hata masaa 12, ameenda kununua simu nyingine ya Tsh Laki 6, wakati huo nilikuwa nikihangaika kuomba Elfu 48 ya matibabu ya Mtoto kumbe mwenzangu ana pesa yote hii kwenye account! yake".Kila siku baada ya kazi mimi hununua shawarma na chakula cha kutosha kinaletwa nyumbani kwa mke wangu. Kazi yangu sio ya uhakika kila siku, hivyo basi niliamua ku-stock chakula mapema nyumbani, hata kama sina pesa taslimu, nanunua tu chakula cha kutosha ili siku moja nisishikie hakuna chakula nyumbani. kiufupi nilikua najitoa kwa familia licha ya kipato kidogo. Siku moja mtoto wetu wa kike aliugua, tuko hospitali nahitaji Tsh Elfu 48 tu kulipia matibabu. Sina pesa, nahangaika kuomba huku nangoja kaka yangu aliye nje ya Nigeria anitumie pesa. Wakati huo huo Siku moja kabla nilikuwa nahangaika kumtumia mke wangu pesa ya kula kazini kwake. Kumbe mke wangu ana zaidi ya Milioni 1 kwenye account yake! na hilo Niligundua kwa bahati mbaya wakati simu yake iliita nikaitazama. Lakini hakunijibu vizuri,Hayakupita hata masaa 12, ameenda kununua simu nyingine ya Tsh Laki 6, wakati huo nilikuwa nikihangaika kuomba Elfu 48 ya matibabu ya Mtoto kumbe mwenzangu ana pesa yote hii kwenye account! yake". nikamwambia itabaki kwangu siku#cmctv_tz #cmcupdates #CatchingEveryStory

cmctv_tz
cmctv_tz
Open In TikTok:
Region: TZ
Saturday 26 September 2026 11:57:19 GMT
25062
712
21
76

Music

Download

Comments

tonadoago208
@tonadoago208 :
welcome to the comment
2026-09-26 20:47:17
1
officialrugejr03
officialrugejr03 :
me nasema kila siku siwezi ishi na haina hii ya kiumbe acha ndoa ife kuna siku nitaumwa watapigiwa kaka zangu waje wanipeleke hospital na mtu ako na pesa
2026-09-26 19:08:33
7
silviamacha12
silviamacha12 :
duh[Innocent]
2026-09-26 19:03:18
0
001juniper
VET juniour💉💊🐏🐓🐕🐇🐄🐟🔬 :
duuuh nomaaa
2026-09-26 17:42:12
3
amani.msaki
Amani Msaki :
Ladies 🙌🏻🙌🏻🙌🏻🙌🏻
2026-09-26 17:53:48
0
sonmitch6
kingragnar :
sad
2026-09-26 17:08:56
1
aujeniamerida
🍁RASH GIRL OUTIFTS🍁 :
Mimi hata Nikiwa na 5000 mpenz Ty akiuguaa lazm niiitmie sembse mtot kun WATY wanaroho mbaya
2026-09-26 21:00:42
1
langa.mr.cool
langa Mr cool :
noma sana
2026-09-26 16:35:57
1
_twaleb_
_Twaleb🤍_ :
YBWYB 🇹🇿
2026-09-26 20:51:08
0
thabit.hamisi6
Thabit :
men
2026-09-26 19:55:58
0
esc_love2
esc-love :
🥺🥺🥺
2026-09-26 17:23:28
0
morientoh
G7 :
2026-09-26 16:44:14
0
careenmike81
🌹🌷Hope🌷🌹 :
kweny kikao alihudhuria vzr lkn kuhus mattbu ya mtot kazingua khaaaa🤣🤣🤣🙌
2026-09-26 20:50:37
1
user74793221776200golden
AGENT PACHA Tz :
viumbe hivyo
2026-09-26 17:46:29
1
droptheliner
Tellemingsango :
wanawake
2026-09-26 20:10:53
1
mee.jack92
Mee Jack :
Fuck wife
2026-09-26 19:34:12
1
scorpionquee01
Mama Muzdalifah :
uliiona hiyo 1m shem au unazua taharuki na je ukiionaje kwahyo tunapekuana sio😳
2026-09-26 20:59:13
0
jumbe.mgagi0
The Real Jumbe Official✌️ :
😯🤔🫵
2026-09-26 18:04:28
0
To see more videos from user @cmctv_tz, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About