@akili_media_academy: Dunia ya leo haihitaji vyeti pekee, inahitaji ujuzi wako. Ujuzi ndio ufunguo wa ajira, biashara na mafanikio ya kweli. Jifunze leo, ujitengenezee kesho bora. 🚀 🚀 UJUZI NDIO PESA YA SASA! Leo hii watu wengi wanatafuta kazi… Lakini wenye UJUZI wanajitengenezea kipato wao wenyewe kupitia mtandao. 💻📱 Kama unapenda: 🎨 Kutengeneza matangazo mazuri 🎬 Ku-edit video za kisasa 📲 Kukua kupitia social media 💼 Kusimamia akaunti za biashara mtandaoni Basi muda wako umefika! Karibu Akili Media | Video Editing | Graphic Design | Training Center ambapo tunakufundisha kwa VITENDO: ✅ Graphic Design ✅ Video Editing ✅ Digital Marketing ✅ Social Media Management Utajifunza kutumia: 🔥 Adobe Photoshop 🔥 Adobe Illustrator 🔥 Premiere Pro / Filmora 🔥 Mbinu za Social Media Marketing Baada ya mafunzo utaweza: ✔ Kutengeneza posters na logo za kitaalamu ✔ Ku-edit video za matangazo zinazovutia ✔ Kusimamia page za biashara kama mtaalamu ✔ Kujipatia kipato kupitia ujuzi wako 📍 Mafunzo yanapatikana: ✅ Ana kwa ana ✅ Online ✅ Muda unaokufaa wewe ⏳ Kozi hukamilika ndani ya wiki 2–3 tu! Huu sio muda wa kubaki mtazamaji… Jifunze ujuzi unaolipa maisha yote. 💰 📞 Jiunge sasa: 0787816375 📍 Mahali: Kariakoo – China Plaza Tuma neno “DESIGN” WhatsApp ili kuanza safari yako ya mafanikio 🚀 #GraphicDesign #VideoEditing #DigitalMarketing #SocialMediaManager #AkiliMedia OnlineBusiness ContentCreator Photoshop PremierePro FYP marketing reel fypシ contentcreator adobephotoshop

Akili Media | Content Creator
Akili Media | Content Creator
Open In TikTok:
Region: TZ
Saturday 26 September 2026 12:36:23 GMT
6259
369
3
15

Music

Download

Comments

mkamisi5
Light studios :
color gred
2026-10-30 10:58:45
0
tozzy.designer
Tozzy designer :
greit
2026-10-01 21:02:35
0
blackknowledge96
black knowledge :
👏👏👏
2026-11-14 12:08:09
0
To see more videos from user @akili_media_academy, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About