@movieplug_loveadvosor: Serikali imezindua na kukabidhi boti maalum ya uokoaji na kuzima moto yenye thamani ya Sh bilioni 1.5, ikiwa ni hatua ya kuongeza uwezo wa kukabiliana na majanga katika Ziwa Nyasa. Boti hiyo ina injini mbili zenye nguvu ya Horse Power 250 kila moja, uwezo unaolenga kuimarisha kasi na ufanisi wa operesheni za uokoaji na uzimaji moto majini. Akizungumza wakati wa uzinduzi uliofanyika mjini Mbambabay,Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma, Brigedia Jenerali Ahmed Abbas Ahmed, amesema uwekezaji huo ni sehemu ya juhudi za Serikali kuboresha huduma muhimu, ikiwemo usafiri wa majini na mifumo ya kukabiliana na majanga. Amewataka wananchi kuongeza tahadhari wanaposafiri majini, kutumia vifaa vya kujikinga na kuzingatia taarifa za wataalamu wa hali ya hewa. #creatorsearchinsights #foryoupage #tanzaniantiktok🇹🇿 #foryou

Mr. Essential 🇹🇿
Mr. Essential 🇹🇿
Open In TikTok:
Region: TZ
Saturday 26 September 2026 12:37:59 GMT
4010
44
8
3

Music

Download

Comments

amosindugu875
Amosi Ndugu :
🤣🤣🤣 ira ira tz saw
2026-09-26 17:42:39
0
user7310270821656
user7310270821656 :
well come tanzania
2026-09-26 18:49:51
0
dhulkarnayni.khid
Dhulkarnayni Khidhri :
asante tanganyika
2026-09-26 15:21:51
0
donald.daniel185
Donald Daniel :
nadhn ipo nyingne hi ni copy.😳
2026-09-26 14:14:28
0
kingdom.mwakapesa
Non :
basi na utasemaje muhusika alie nunua ndo kasema inchi yangu Tanzania tuwe wazalendo na nchi 😭😭😭
2026-09-26 18:17:39
0
patreckprosper
patreck :
kwani kuama tz nibonye ngapi
2026-09-26 17:29:06
0
name.less00
Nameless :
Bilioni 1.5 tzs 😳😳😳 ! Ndio hiyo pichani ?!? Yesu wangu 😤😤😤
2026-09-26 13:38:08
0
selemani.issa0
Bai :
wizi mtupu.
2026-09-26 15:13:51
0
To see more videos from user @movieplug_loveadvosor, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About