@angelkidoti12: nimeacha ♥️

Angerkidoti12
Angerkidoti12
Open In TikTok:
Region: TZ
Saturday 26 September 2026 12:39:18 GMT
20178
3003
450
114

Music

Download

Comments

abushiriibondo
abushiriibondo :
Mwenyezi mungu atukubalie Toba zetu make sote ni wakosefu
2026-09-26 14:15:54
46
frankmasanja696
Frank Masanja :
mashaallah allah akuzidishie utimize imani yako 👏👏👏👏
2026-09-26 13:04:06
17
husna.ramadhan87
Husna Ramadhan :
Dada nataka tuonane tufanye mikakati na mpango wa kheri kuhusu Da'awa kwa sababu wewe umefanana kuwa chombo cha Allah kuutetea UISLAM
2026-10-06 08:10:15
7
ibrahimngunde900
Ibrahim Ngunde :
Allah ana bifu na mja wake, Allah atakusamehe dada.
2026-10-14 19:33:02
1
answary.kumbilwa
JM aluminum& Glass :
masa Allah
2026-09-26 14:08:27
6
user7035851838335
smart boy 06 :
uislamu umekupendeza sn na umezidi kua mzur
2026-09-28 00:36:18
10
saumuor
saumu omar :
mashaallaah mashaallaah tabaraullah Allah akuzidishie kipenzi cha allaha
2026-09-26 14:44:14
11
samih2727
SAMIH :
Allah azidi kukuongoza na akufanyie wepesi
2026-10-07 08:31:52
5
user406191313261
hussein :
Allah akujalie na azidi kukuongoze Zaid nazaid
2026-10-13 14:56:52
1
ashaabdallasalum
Asha Dula :
Mashallah Allah akuwezeshe katika kutenda mema wewe pamoja na sisi
2026-10-02 11:39:02
7
saadaali122
saadaali249 :
uo mwanzo ulikuwa nao ni mzur Allah akuzidishie kwa sana na akupe imani hiyo ulikuwa nayo ya dini na kufanya yale Allah ameyaridhia......nakutakia kila la kher ktk safar hii nzito yenye mabilisi tele wa kila aina waliotuzunguka
2026-09-26 16:34:14
9
shabankabosho
kabosho :
Maashaallah Allah akuingize peponi
2026-10-05 10:09:34
2
nillah_00
⚘️nillah⚘️ :
we dada nakupenda kwaajili ya Allah ...tupambane tuipate pepo ya milele biidhnillah
2026-10-13 06:50:45
1
user1808808852586
faizajeizan :
unasamehewa na umekuwa msafi na umekuwa kama umezaliwa upya mashallah Alhamdulilah takbirr
2026-10-08 15:36:38
1
khadija.kisalo
Khadija Kisalo :
mashall all akupiganie usikuna mchana
2026-10-07 17:22:21
1
rajabu.ally4
RAJA :
Mashaallah kwani Maiko Jackson Yuko wapii kama ishu ni umarufu
2026-09-29 04:20:24
5
kemmyissa
kemmy issa :
allah akujaalie hitaj la moy wako inshaallah
2026-09-28 13:10:31
1
user280058209228
user280058209228 :
enjjo na kupenda kwaajili ya allah
2026-09-27 07:31:22
1
asma.ally84
Asma ally :
maashallah mwezi mungu atupe mwisho mwema
2026-09-30 09:17:37
1
samiry7g
samiry7G :
Allah akujalie uwe miongoni mwa wake wema wa peponi inshallah
2026-09-29 15:56:00
4
ibrahmkhamis20gmai
ibrahm THE DONE :
mashallah mashallah Allah akuhifadhi
2026-09-26 13:37:27
3
user572324554310
seleman :
Mungu akutangulie na akuongoze uxhauri wangu jitahidi uxikatixhwe tamaa tuu na binaadamu ukiamua amua bila kujali yeyote 🙏🙏🙏🙏
2026-10-01 17:58:42
3
maimunahngoi
nuu :
MashaaAllah, Allah akuhifadhi
2026-10-05 14:48:43
1
hajiraty.r.kajembe
Hajiraty r kajembe :
mashallah dada mungu akutangulie
2026-10-13 09:30:44
1
fatumashaban652
Fatuma Shaban :
walykm salam mashallah mwenyezi mungu akuongoze yarab[Pray]
2026-10-06 03:48:07
1
To see more videos from user @angelkidoti12, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About