ukipata neno yesu kwenye kitabu cha esta niambie ni mlango gani
2026-09-26 13:36:08
105
🌹mamy🌹❤️ :
watako elewa ni wachache
2026-09-26 13:43:40
220
___2372___ :
basi achana nae sikiliza za wengine makasiriko ya nn
2026-09-26 16:55:14
57
jovial designs :
huyu mweusi ni nan
2026-09-26 15:53:16
33
MJUAJI :
kwani watu wasiimbe nyimbo za kidunia wakati wapo duniani
2026-09-26 14:03:46
55
Rk Jr :
ndo maana mm naamin sana nyimbo za sabato ndo zenye ujumbe wa Mungu
2026-09-28 08:15:43
12
London Kerby :
in the bible 2 books have not mentioned the word God
2026-09-29 04:49:37
0
ceo_n1 :
Sawa mliopew haki za kuhukumu
2026-09-26 22:14:18
8
JAHMOR_MC :
Km kamuacha yesu Bas kamchukue ww [Tears of joy][Tears of joy]
2026-09-26 15:24:59
24
Heroes :
amen brother thats truth
2026-09-28 14:05:36
1
EMMANUEL 💥 :
je unadhani njia ya wokovu wanaipita wengi? wakorintho wa kwanza sura ya 4:1_2 Wakoritho wa pili 4:3_4.
kwahiyo usishangae kuona wengi wame potoka.
2026-09-26 14:40:08
46
Paulina James :
Eee mungu tusaidie tusiwe vugu vugu
2026-09-26 13:30:04
13
😇 :
wakirsto wengi wanao mwamini mungu wanaelewa nn kinaendelea dunia iko ukingoni tuombeane mungu asituache watu wake me naumia sana hii dunia inako enda jamn
2026-09-27 07:16:00
5
@@mcoast wa BG :
God is powerful
2026-09-27 19:51:00
0
Anastar :
mnanikera sana mnaohukumu hili jambo kwani nyimbo isipotajwa jina la yesu kuna shida gani pia kuweni waelewa yesu sio Mungu yesu ni mwana wa Mungu Yohana 14:1 msifadhaike mioyoni mwenu mnamwamini Mungu niaminini na mimi. hii inamaanisha yeye sio mungu ila anatukumbusha kuwa tukimwamin Mungu tumwamini na yeye.
2026-09-27 05:27:03
14
MASAU MSABI :
waimbaji wa nyimbo za injili hapa tanzania wengi wao awana utofauti na watu wa mataifa nyimbo azina ujumbe wa kumtukuza Mungu bali zimejaa kujisifia na vichambo
2026-09-26 18:26:52
5
sindy0013 :
do not judge
2026-09-28 13:56:34
0
Suzie💞💫 :
kumbe mtumishi unasikiliza nyimbo za rayvanny
2026-09-26 15:02:52
7
tyna 💞 :
Amen 🙏 naombatu mungu anisaidiye nifikiye mwicho muzuri
2026-09-26 14:29:51
6
justina💖💖 :
Amen
2026-09-26 13:10:59
7
user988043439618 :
anayejua ni mungu peke yake
2026-09-26 13:42:33
7
hero one :
kweli hawa waimbaji wa injili wanapaswa kuwa makin sana
2026-09-26 13:55:51
6
viola :
Amina mtumish. mungu atusaidie.
2026-09-26 13:04:31
6
EMMANUEL 💥 :
je unadhani njia ya wokovu wanaipita wengi? Mathayo 7:13.
wakorintho wa kwanza sura ya 4:1_2 Wakoritho wa pili 4:3_4.
kwahiyo usishangae kuona wengi wame potoka.
2026-09-26 14:40:38
9
To see more videos from user @emmanuely136, please go to the Tikwm
homepage.