@dalalikennydodoma: Utaita maji mma😔😔😭 #viralvideo #fypシ

Dalali_Kenny_Dodoma_
Dalali_Kenny_Dodoma_
Open In TikTok:
Region: TZ
Saturday 26 September 2026 13:29:48 GMT
54904
1055
298
230

Music

Download

Comments

ryyah09
Noirriyah🖤 :
warangi oyeeee[Heartwarming][Heartwarming][Heartwarming]tupo na urembo wetu
2026-10-14 17:21:44
6
husnatz11
Husna :
Napenda mnavyotuchukia hata sisi pia hatuwapendi 😂😂😂 ongeza na Husna hapo
2026-10-15 07:15:36
60
christopher.ngony61
Christopher Ngonyani :
mungu nipatie mdada mzur wa kirangi💚💚 nimuoe
2026-10-14 12:04:16
35
msouth28
Msouth :
Watu wengi hua wanawaoneaa wivu kwa sababu warangi ni warembo mno.
2026-10-15 09:40:04
21
its.zai358
It’s zai :
[Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy] Saw
2026-10-15 09:05:37
0
sharifamembe815
Shery Rm😍 :
Kwamba sio wachoyo au[Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy]
2026-10-15 15:41:21
0
abby.waheed
Abby Waheed :
Oyaaaaaaaah mie nimekutana nae Dar es Salaam [Big LOL][Tears of joy]
2026-10-15 15:09:34
0
aishamudy05
[email protected] :
kwann mm[Embarrassed]
2026-10-15 13:59:35
0
mayrhacute
Aysher🌹🌹 :
uzuri hatujawahi kushuka brand , 😅 k
2026-10-15 11:58:08
9
happyneeanaely
madam happier :
achana tu na kwenye mapenz ata kwenye maisha ya kawaida hawa watu niwakuwaogopa wanaroho mbaya
2026-10-15 06:32:04
6
hassansangali3
hans.hassanally :
nipate mrangi wangu nimuoe mie 🙏. me don't care
2026-10-15 13:18:11
3
ashie_917
Miss😌Ashie❤️ :
Kwann Aisha lakin😂🤌🏼💃🏽
2026-10-15 09:51:51
1
faipeti
faipeti :
uzuri tumewazidi kila kitu msituchoshe bhana
2026-10-14 10:35:30
6
maryjoseph259
mary joseph :
ukiona mtu anakuongelea vibayq ujue kabisa kwanzq ana wivu na umemzidi kila kituuuu warangiiii oyeeee tumware
2026-10-15 08:25:25
6
nshenga303
nshenga#303 :
yaani Aisha maana yake umeishaaaa
2026-10-14 13:26:31
7
stanleymathias25
matty@76 :
kweli wana roho mbaya
2026-10-12 11:38:43
2
princevanjerry
Prince Van Jerry :
Mie nawakubali hebu waje dm hapa 🥰🥰🥰
2026-10-15 11:50:19
1
iamcuppaccinopapy
𝓟𝓪𝓹𝔂 💫 :
Wasandawe [Heartwarming]
2026-10-09 14:45:06
0
drpedant
Dr Pmoxim :
nataka mrangi mm NI mrangi tujuane warangi
2026-10-13 11:52:17
8
dalali.gabriel.do
dalali gabriel dodoma :
Ongeza na Salma
2026-09-27 11:06:27
0
aishamajala5
Aisha Majala :
kwanini lakiniiiii.. mefanyeje mimiiiii
2026-10-09 08:52:46
0
beingfatma1
Ms - Fatma 🦋💫 :
Mtu aniambie seriously kwan warangi tuna shida gani mana nashindwa kuelewaa au kwakua nimezaliwa na kukulia unguja???
2026-10-15 13:22:43
0
mani.jr.77
MANI JR 77 💯👊👊 :
mbona mnanitisha sasa na mimi nataka nimuoe mrangi oya ebu semeni kweli nighair bas 😳😳
2026-10-14 05:20:12
0
luluelias476mnyenyekevu
luluelias476 :
kweli 💯 chukua hiyo
2026-09-29 18:46:14
1
kanunimeshack
Kanuni Meshack :
Hatari kweli si wazuri au wewe ulitakaje
2026-10-15 11:32:46
3
To see more videos from user @dalalikennydodoma, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About