epuka brother, hiyo mbolea ni mbaya Kwa afya ya udongo na mazao pia. mbolea ya ng'ombe unaweka na inakaa muda mrefu, huwezi kunielewa hadi utakapoona madhara yake
2026-09-27 04:46:52
2
Eng Amos johanes :
mkoa gani
2026-09-26 18:06:49
0
pson :
mkuu vipi maeneo yanapatikana uko?
2026-09-27 07:30:09
0
user12309909197321 :
Mashamba uko bei ngani mtiani wangu
2026-09-27 10:49:14
0
FINIBOY MNYAMBO :
nipe namba yako mkuu
2026-09-26 21:26:21
0
Fexhodefa :
dah nimependa ulimaji huu.
itakuwa kyerwa huko
2026-09-26 17:21:46
0
Assinary Yassin :
yaan ukiachana namavuno ata kujisikia raha kuona unashamba kama ili inatosha, i wish ata zangu zitafikia atua ii
2026-09-27 04:02:32
0
elvian ludovick :
naweza kutumia booster? je inawekwa kwa interval gan?
2026-09-26 17:34:09
0
To see more videos from user @meshacktz5, please go to the Tikwm
homepage.