@sayyed.og.com: Betii hii inamaajabu makubwa ya kuweza kuwafunga midomo maadui zako wasiweze kukusema vibaya sehemu yoyote, napia maadua zako watakuwa wanakuogopa sana kiasi ambacho wakikutana nawewe wanatetemeka na kukupa heshima yako hata kama ukiwa umewakosea wataendelea kukusifia na kukuzungumzia vizuri tu. Ukitaka upate heshima kwa kila mtu,yaani ukiingia sehemu watu wastuke na kukaa kimya,basi soma beti hii. Pia ukitaka kuwashinda maadui zako katika kesi yoyote au jambo lolote soma beti hii. NAMNA YA KUSOMA BETI HII: Chukua mafuta ya mzaituni orijino kabisa chupa lake limeandikwa (RS) . Ukishayapata utayasomea mafuta haya betii hii mara 116 siku ya ijumaa sa moja asubuhi au saa nane mchana huku ukiwa unachoma ubani dhukra. Utakuwa unapaka mafuta haya asubuhi kila unapotaka kutoka nyumbani au kwenda kazini pamoja na usiku muda wa kulala ndani ya siku 7. Kwa hakika maadui zako au watu watakuogopa sana na kukunyenyekea na kukusikiliza nini unasema. Utakuwa na mvuto wa ajabu sana hautasemwa kwa ubaya wowote. Kwa utukufu wa betii hii iliyobeba majina matukufu ya mwenyezimungu
Yani nikiskia hivi Naskia rah sana napenda dhikri mimi🥰
2026-09-27 20:02:38
18
BossSultan :
je ukiandika ubeti huu Kwa Zafarani,miski na maji ya wardi kwenye sahani nyeupe kisha ukaifuta Kwa hayo mafuta ya Zaituni kisha ukayakoroga paka yachanyike alafu ndio usomee huo ubei tena itakuaje sheikh wangu
2026-09-26 17:12:49
2
zakatishemkain :
nitaifanyia kz kwa kweli kwa jina la mwenyez mungu
2026-10-13 08:16:34
1
user9711853110277 :
nataka dhikri nyumbani kwangu kufurahi mm na familia yangu bei gani na sadaka gani huwa ya kuwapa watu watokuja mana nitawaalika
2026-10-07 08:29:39
1
Mr smilley🥰 :
Allahu aqibar
2026-09-27 08:29:34
2
allymkumbwa6 :
Jala jalalu
2026-09-27 17:02:06
2
hamza jr🎧 :
Nimebarikiwa na hii sauti
2026-09-27 10:48:13
5
chaby :
maisha ya mdrasa raha san
2026-09-28 13:58:49
2
ℝ𝔸𝕀𝕐𝔼★╠♥︎ :
Mara ngpi kwa siku na mda gani wa sala niaze kuifnyia kazi nijbu tafadhali
2026-09-27 10:46:23
0
Shaa-tz :
Allah Allah Allah
2026-09-28 19:53:14
2
issa :
mashaallah
2026-09-28 22:32:07
1
yasmeen sheraly :
YALLAH YALLAH YARABY
2026-09-29 10:47:22
2
Yusuphu Salimu :
YA Allah
2026-09-27 15:52:19
2
Nuraty Shabani :
ya allha
2026-09-28 05:58:50
2
mama amiriy :
naomba video ambayo unatamka iyo beti tafadhali
2026-09-26 22:44:26
1
Jamila :
namshukul allah kunijalia kuzaliwa muislam
2026-09-28 08:38:53
2
Abdul Shabani :
mi na hiyo zikr tu 🎧🎶
2026-10-02 17:46:56
2
mama saida :
Allah akbar
2026-09-29 09:51:23
1
Sian :
allah atujaalie mwisho mwema
2026-09-28 16:18:44
2
fetty :
Ya Allah ya Allah
2026-10-13 15:42:59
1
Fatma fashion designer :
Mbn nikisikia izi qaswida nasikia raha jmn🥰🥰🥰
2026-10-02 08:04:56
1
mbwanabaruti :
Jala Jalalu
2026-09-28 20:30:09
1
chama :
ya Allah ya allah
2026-09-30 03:12:58
1
Mrs 👩❤️💋👨bushir🌸 :
Allah allah allah ❤️☝️
2026-09-27 12:40:50
1
To see more videos from user @sayyed.og.com, please go to the Tikwm
homepage.