tuliogundua Nyerere kajichanganya tujuane [Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy]
2026-09-27 05:36:02
8
mbuzi east zuu :
afu huyu Mzee ametualibia nchi sana
2026-09-27 03:57:07
20
TheRealKevoo :
bora hata tungeungana na kenya
2026-09-27 05:36:56
12
Biseko Jackson :
babu ulikosea Mzee wale jamaa ni wabaguzi sana babu
2026-09-26 20:50:41
21
binshaaban :
KAULI YA KARUME HATUJAISIKIA KAMA ALIKUWA ANATAKA SERIKALI MOJA HIYO HAKUNA KAULI HIYO
2026-09-27 06:53:45
8
MIZZO Classic :
KWANI AI IMESHINDWA KUN'GARISHA HII VIDEO??🥺
2026-09-27 06:58:54
4
Kichui Shadrack Enock :
Wewe ndiyo ulikosea. Mungefanta serikali moja. Sasa muungano una mashaka makubwa.
2026-09-27 07:15:53
4
Xs :
Moja Ndio Ilikuwa solution, mzee alikuwa complicator
2026-09-27 10:13:42
2
Dreezy96👊🔥 :
kwa kipindi icho ilikuwa sahih ila kwa sasa hivi aisee ni mbaya
2026-09-27 07:04:57
2
Muumini Safi :
ipo mistake babu ndogo ulifanya,but tunaheshimu maamuzi yako
2026-09-27 04:43:59
4
👻 :
Sisi wa Zanzibar hatutaki mungani
2026-09-27 11:52:56
0
@fally_khan26 :
Nyerere ni 🧠❤️
2026-09-27 04:47:31
3
KKM :
sasa kwa zote c ni nchi hata kama ni ndogo.
2026-09-27 08:39:21
1
Montana House Of Beauty :
Karume hakutaka wala hajasema serikali moja
2026-09-27 03:07:25
1
🔵 Ismail Care TZ ✔️ :
Huyu mzee hakuona mbali kabisa alikuwa anafikiria kwa wakati huo tu[Thinking]
2026-09-27 04:32:56
2
Zarikha :
Yeye huyo mzee karume walipo ungana baina ya Tanganyika na Zanziba hakuwashauri wenziwe aliporudi Dar ndio akawajuilisha wenziwe kuwa tumeungana na Dar wakaungana baina ya jeshi na polisi tu usalama ilikuja kuwa muungana baada ya kungana ASP NA TANU hapo mambo ndiyo yalipokuja kuvurugika wakatufanya kama watoto wa kulelewa amri zote kutoka kwa Nyerere MBM wote paraganye n.k huyu mzee kaichafua ZANZIBAR mawazrir waliuliwa becouse of him jamani huyu mzee anamengi ya kumjibu Alla
2026-09-27 07:30:20
0
Safari zanzibar :
anachekesha kweli
2026-09-27 07:01:45
1
Ray&nawal :
anamsingizi coz mwenyewe karume hayupo karume alitaka mungano miaka 10 tu ndo mana akauliwa ilipo karibia hiyo miaka 10
2026-09-27 04:02:18
4
J_J :
hii hotuba sikuiona
2026-09-27 03:49:16
2
Haroub Suleiman :
kulikuwa na ulazima wa muungano kila mtu na nchi yake shirikisho la east afrika comunity ingetosha ni kuboresha ile comnunity
2026-09-27 08:11:31
1
⏱⏳ :
Milion 12 hadi saiv ni milion 60
2026-09-27 06:27:04
1
bin salum#/12345 :
tuletee video moja tu ya karume kusema anataka serekali moja
2026-09-27 04:32:21
2
Nassir khamis :
tatizo la viongozi wa Africa wanapenda madaraka sana ukiangalia hapa karume alikubali muungano kwa maslahi yake binafsi na si kwa maslahi ya wananchi alikuwa na hofu ya kupinduliwa
2026-09-27 04:28:38
2
KAZOBA TZ :
AI HYO
2026-09-26 22:08:02
2
To see more videos from user @jicholaupendo, please go to the Tikwm
homepage.