@festongadaya: Kijana mwenye degedege, kupoteza fahamu… na baadaye kugundulika kuwa na maambukizi ya minyoo. Hii ni case ya kipekee iliyowasilishwa na Dkt. Shabbir Moizali wa Tanga Regional Referral Hospital pamoja na Hillary Raphael Sebukoto wa NIMR. Sikiliza hapa #tanzaniantiktok🇹🇿 #tanzaniatiktok #tanzania🇹🇿 #kenyantiktok🇰🇪 #swahilitiktok

Festo Ngadaya
Festo Ngadaya
Open In TikTok:
Region: TZ
Saturday 26 September 2026 14:23:45 GMT
12034
627
19
119

Music

Download

Comments

a_s_muhulo
a_s_muhulo :
Well explained 🤝
2026-09-27 08:31:25
2
mteule.26
Mteule 26 :
Content nzuri na usimuliaji ni top notch 👏👏👏
2026-09-26 18:10:45
10
user1362430976825
WATCHMAN MOSES :
excellence 🔥
2026-09-27 06:21:13
0
zakhiameck
zakhiameck :
Dr shabir et al… 😂😂
2026-09-26 20:22:55
4
drcharlzy
charlzy :
DR Shabbir yupo vzr sana
2026-09-26 19:52:42
4
sunnykay622
Sunny Kay :
Hii case imenipata mimi lakini mpk leo cjui tatizo ni nini🥹🥹
2026-09-26 19:09:27
4
mom.lisa88
mom lisa :
umeelezea vzr ,
2026-09-26 21:08:00
2
the.giant06
The Giant :
Majibu ya CT yalisemaje?
2026-09-27 10:22:51
0
caesar904
B A B A W A R D A 🥲 :
hii watoe Andiko.......🙏🙏
2026-09-27 08:56:03
0
ukht_saarah
☘︎ساره☘︎ :
Tumesoma hii kwenye Parasitology, mtu ukimuelezea anakuangaliaaaa kazi yenyewe huna alaf unajifanya mjuaji [Tears of joy].
2026-09-27 08:54:53
2
robby.son0
Robby son :
umetisha kaka nimesha wahi pata pt anakooa kwa muda mrefu San na alitumia San dawa za kikohozi still ilikuwa ni minyoo ndo chanzo
2026-09-27 06:09:26
0
hmhule
Henry :
Leo nikanunue dawa za minyoo
2026-09-27 08:33:39
0
ukht_saarah
☘︎ساره☘︎ :
Ashukuru Mungu hakuwa na Taeniasis
2026-09-27 08:55:59
0
stycn_blvck
$T¥€N :
shida dawa zenu za minyoo mnatoa eti mtu atafune mara Moja kwa siku nazo ni albendazole 40mg Sasa huo mnyoo wa kufa kwa hiyo dozi ni mnyoogani ndio maan watu hawaponi na hawataki kuendelea kununua izo dozi Moja moja
2026-09-27 11:18:49
0
barakaagrey
barakamwambingu :
👍👍👍
2026-09-27 04:43:39
1
ellie.nickie
Ellie Nickie :
@llola08winx
2026-09-27 10:35:01
0
To see more videos from user @festongadaya, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About