@junetahwilliam:

Kamamaaah❤🦋
Kamamaaah❤🦋
Open In TikTok:
Region: TZ
Saturday 26 September 2026 14:28:18 GMT
27252
1750
144
272

Music

Download

Comments

narman325
Narman :
Tulooanza mwanz wa story mpk mwsh tujuane
2026-09-29 15:35:38
22
reenperfumetabora
Reen perfume tabora :
siyo rafiki hata ndugu wapo wa aina hiyo
2026-09-27 09:38:29
12
mkamishoes
mkamishoes :
Mimi sitaki rafiki nimejifunza sana
2026-09-27 11:09:36
13
morris_501
morris Maurice :
mungu akupe watoto in Jesus name my sister
2026-09-27 15:38:37
4
user8699507931967
user8699507931967 :
sala na sadaka zako zimakulinda,hakuna sadaka isiyo na ulinzi...endelea kusali rozari ya huruma ya Mungu .
2026-09-27 14:00:35
10
tasisamay
emmydamas kirway :
pole dada Mungu bado ana makusudi na wewe ni, umetufundisha kitu
2026-09-30 08:38:13
2
itsmenay2632
ItsmeNay :
Ukiona watu wanaungana kukushusha ujue Una legacy na kibali mbele zake🤣😂 labda Mungu aamue kukushusha lakini Mungu ni mkuu hautashuka
2026-09-27 06:30:15
18
saidat428
Saidat :
jaman tuswalin sana na maombi mahasidi ni wengi
2026-09-27 20:05:16
7
bwoto0
bwoto0 :
Haujafanya vyema ilitakiwa ku report police kwasababu ataendelea kuumiza wengine.
2026-09-27 15:44:57
5
user7670544172856
Maharouq :
Hii story nimeisikiliza mwanzo mwisho kuna cha kujifunza asee asant sana kwa mwanga ulotupa mungu akubarik na akuepushie baya lolote walipangalo juu yako
2026-09-29 10:56:21
3
aliraza.dhirani
Aliraza Dhirani :
amen mungu akulind san
2026-09-29 12:17:14
1
januaryfebruary133
172017201720 :
Namshukuru sana Yesu Kristo aliyekuponya .
2026-09-27 18:05:05
4
wizowizoh
Wizoh :
Mimi ombi langu kwa Mungu akuepushe na watu wenye nia mbaya na wewe am talking through experience mana ata mimi kuna binti ambaye alikua rafiki lakini vitu anavyo nifanyia ata nikikaaa nashangaa nilimkosea wapi lakini nina imani ipo siku atalipia mara elfu ni hayo tu nimesikiliza story yako mwanzo adi mwisho nimejiona mimi kabisaa 🥹
2026-09-27 18:06:01
3
janeclever10
JANETH🌹 :
hakuna anaependa umzid kwa mafanikio zaidi ya wazazi enogh..🫡
2026-09-28 16:01:33
3
pinky.bella089
Pinky bella💞💞 :
Mungu akiamua kukubariki, hakuna wivu wa mwanadamu unaoweza kuzuia🙌
2026-09-28 09:40:42
4
nymcom3
@grâce 🚴🚵💪 :
polesana kwauliyopitiya mungu anakupenda sana Dadayangu 🙏
2026-09-27 17:37:02
2
shoomycosmetics
SHOOMY COSMETICS :
Nimejifunza sanaaa🙌🏼🙌🏼
2026-09-26 23:26:58
6
papigal8
She is papi :
Chunga sana marafiki 🤌🏼
2026-09-27 16:45:00
1
.babelyyne
.baby lyne🌸🦒 :
So true ogopa sana mtu anaependa kukusifiasifia na kukuwekea tabasamu 24/7
2026-09-27 21:24:47
1
shesidikab
she🦋sidika🦋🎀🦋 :
chenye nilipitia mim
2026-09-27 17:10:22
1
nairajoseph129
BINT WA KINYIRAMBA :
eee mung naomba mwisho mwema naomba ulizi mwema
2026-09-29 14:01:45
1
user450834843294
S❤️S :
kwer dada malafik n waajabu mno mungu alikulinda sana dad
2026-09-28 13:16:14
1
user8007738821054
shuucuteh :
mbona kwastahili hio nitabaki peke yangu
2026-09-27 18:24:02
1
lightnesskisanga
Lightie sweet cake 🎂 :
Marafikiii 🙌🏾🙌🏾🙌🏾
2026-09-27 17:59:51
1
cocobaby0236
@cocobaby023🥰😋 :
mirafiki yalinikuta
2026-09-27 13:40:14
2
To see more videos from user @junetahwilliam, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About