Mzeeh kaongea ukweli mtupu wazee kama hawa tunawaitaji katk jamii yetu
2026-09-27 06:18:00
3
Kalawa jr :
Umekuja Mara moja wacha niongee nisisaahauuu😁
2026-09-27 09:08:45
4
user7736022717619 :
baba anasema kweli
2026-09-26 19:17:05
5
fikiria utakufaje :
ila huy mzee noma saan hua namkubal kwa maneno yake ya ukweli
2026-09-26 20:15:36
5
Anwaryy :
duuuh mzee anamadini hatari
2026-09-27 01:20:37
3
Wizzie Style :
FACT
2026-09-27 08:21:46
0
elasto josefu osiana :
kweri kabisa fadhà
2026-09-26 16:29:08
1
__Big_Scott :
Ikiwa pombe ndo ichi kizazi cha AI
2026-09-26 19:42:52
1
Nsangila II 🌟🏆 :
Big fact
2026-09-27 03:47:56
0
Your Bestfriend ❤️ :
😆😆😆 kweli babu
2026-09-27 07:48:59
0
user7339880690811 :
mzee umenitoa machozi hapo kwenye ngedere namtu kua nasamani kuli watu daah
2026-09-26 20:58:33
1
asha turkey 🇹🇷 :
mie mtuakishanisaliti bas huyo awezi kuwa namie tena
2026-09-27 08:12:18
0
Mr chikoto kwachi :
nimekuelewaaaaa
2026-09-27 08:05:17
0
Irshad Uhuru :
babu vipi[Pray]
2026-09-26 17:13:27
0
chidy :
2026-09-26 18:25:18
1
0657923871 :
SAHIHI 💯
2026-09-27 10:26:37
0
Jblack.Tz :
kwa hili nakufollow 😂
2026-09-27 03:05:35
1
Ally Kyms :
KWELI MZEE
TAYIZO AFRICA TUNAIGA TAMADUNI ZA WATU SANA atakama si lavo tu
Mfano :Umeona Mzungu Kamanda2 Nyasi na Maua ktk Nafasi Zinazo Zunguka Nyumba Yake.
NA ww Muafirika Unaiga!!
ila mwenzio ana hela- Dola- Matunda Na Vyakula Atapata SUPERMARKET je WW ?
Serikali Za Ulaya
Zina Jenga Viwanda Kwa Wingi ili Kubuni Ajira
Pia Zime Tenga Maeneo Ya Kilimo Kuzalisha Chakula Pia Wana Wezesha Wakulima Binafsi
Leo Amerika Inazalisha Nusu Ya Maindi Duniani
Ukrein Na Urusi Ndio Wasambaza Ngano Duniani
Sie Twauza Vitu Vya Hiari- ziada- Coz Mtalii Asipo Ona Nyani Hapungukiwa kitu, yake yana muendea ila ww muuza maonyesho Itakuwaje ?
MUNGU katukejea Raslimali Nyingi Afrika Badala Zitu Saidie Aaah
TANAKAZI YA KUKWAMUSHANA2
usivue hapaa ! usiwindee ! usipime hapaa ! usichome mkaaa, usikate mtii
ukisema waeka japo kibanda cha mtumba au tomato,au chai andazi
Ooh lipia leseni Hii, toa ushuru huu
Yaani VIKWAZO KILA KONA eeh Mungu weeeh
Bado leseni ya oumzi2 na ushuru wa hewa safi
MTU Masikini Sina Elimu Sina Hela
nikate viniti nkite japo kibanda cha tope MARUFUKU KUKATA MITI
Sina Hela ya Gesi Basi Nkate Kuniii
MITI MARUFUKU KUKATA.
Basi Mvue Uduvi Na Uone Mpate Riki
SAMAKI WA DOGO MARUFUKU.
hai naitoa wp mie hio meli ya uvuvi na majarife !?
Basi Nachoma Mkaa Ngaa mpate kula na karo MITI NI MARUFUKU
Basi Na Fanya Ufugaji
Ooh MARUFUKU MJINI KUFUGA
Basi Naenda Fugia Kando Nje Ya Mjini
Ooh ARIDHI NIYA MUWEKEZAJI
Basi natkomea kule mbali na mifungu yangu
Ooh KULE NI HIFADHI YA MSITU .
Basi Na choma maindi hapaa
Ooh apo ni ifadhi ya barabara.
YANI BADO2 TUZUIWE KUFUNGUA MADIRISHA
NA KULIPIA USHURU WA MVUA NA JUA
na mm nawakumbusha wasi sahau kutulipisha ushuru wa vifuatavyo:
1-usiku unavyo ingia na mchana pia
2-mwanga wa mwezi na nyota
3-radi na umeme nyakati za mvua
4-makaburi kwa mwaka au mwezi
5-ujauzito- mimba-.
6-kutoka nje
7-maoigo ya moyo.
8-ata kufa pia mtu sife hadi alipie kwanza.
MAANA DOOH !!!
2026-09-26 21:26:06
5
KAZOBA TZ :
kwa hyo mzee una maanisha tanapa wanampinga baba wataifa
2026-09-26 22:00:58
3
KALANJE OMMY :
Mzee anakanyaga mpaka basi sema Yuko serous usela mpaka chai
2026-09-26 20:55:59
3
🍁*Traves_cench*🍁 :
MANENO YA MTUMZIMA DAWA NDIO HII SASA🔥🔥
2026-09-27 08:42:10
0
iamDeChairman :
mzee ajengewe sanamu yake
2026-09-27 09:51:09
0
To see more videos from user @chiefpengo, please go to the Tikwm
homepage.