@jayson__04: 🇹🇿 #designprocess @VANNY 🏍__𝐌𝐚𝐬𝐭𝐢𝐜𝐤𝐞𝐫👑 @_La JiNi 💥Joh designer🎨 @Manizo sign @JPN_MASTICKERS_BRAND🌍 @RAM.21.ARTIST🖌️🖌️

𝗝𝗔𝗬𝗦𝗢𝗡 彡 🇬🇧
𝗝𝗔𝗬𝗦𝗢𝗡 彡 🇬🇧
Open In TikTok:
Region: TZ
Saturday 26 September 2026 14:47:42 GMT
230946
11235
282
234

Music

Download

Comments

dav_kanda07
Kanda 📸🇹🇿 :
unaiweka kweny nini hyo
2026-09-27 05:07:55
349
nemerez005
🔝 :
Hakikisha haipiti dar hiyo
2026-09-27 05:45:06
166
4k.designer0
Matata One Productio :
kosa hilo mzee
2026-09-27 05:30:00
113
lutengano.jacob.m
Lutengano Jacob Mwakyusa :
hyo itakuwa hauendi mjini mana haitambuliki kama ni njano au nyeupe
2026-09-27 04:17:16
86
abdulimohamedigom
goma mc :
kaka mimi nataka kamaiyo ayo mengine niache mimi lod nitajuwa naishivip
2026-09-26 22:39:54
47
j.goldberg08
J.Goldberg :
Hii inapita wapi hii
2026-09-27 19:40:46
13
marijan_the_mr
marijan_the_mr :
Hata kama ni nzuri ila ni uvunjifu wa sheria
2026-09-27 08:38:59
23
rapchel.17
ÇHÛRÇH Bœ🙏 :
Zingekuwa zinakuja ivyo ivyo yani ndo TZ zitumike ingekuwa unyama sana
2026-09-26 20:53:44
17
sabby7719
sabby :
Siwez pata bendera ya Arusha
2026-09-27 08:07:24
24
unknown.1jd
learsa :
duuh plat number zetu zingekuwa ivyo unyama
2026-09-27 05:51:23
46
tangatya2001
shebby :
namba weka ziwe nyeupe
2026-09-27 14:48:25
6
othman.kingazi
Osmani_Hamisi :
kaka emn jaribu kuipausha hiyo raman ionekane kwa mbali tuone wenye magari nao tubandike 😁😁😁
2026-09-27 01:34:08
7
lutherkagondela
Luther Kagondela :
masela wote tutaweka hiyo mambo ya mtu binafsi na biashara watajua wenyewe Tanzania inatosha
2026-09-27 16:41:16
10
192837mw
192837mw :
2026-09-27 07:08:24
1
humorousprofundity
Thinklaugh :
Ofisi yako iko wapi?
2026-09-27 06:22:06
7
albinusiddy
JAGADY 🦍 :
hiyo ngoma asee kaimba nan?
2026-09-28 18:44:27
0
ashnaifat8
ashnaifat :
so wamuwajir jmn kipaji kiruz icho
2026-09-27 12:44:16
4
jackson.ezekiel2
Papaajeybeauty HQ :
ubunifu safi
2026-09-28 19:27:43
0
fujoboy
Fujo_boy #188 :
unapatikna wap kaka nimeipenda iyo
2026-09-27 06:07:47
0
msoviet98
msovietTz :
Pesa ya supu kwa traffic
2026-09-27 14:59:30
3
mm.mh.mussa
Mm.mh Mussa :
Watu huwa wanabuni biashara kwenye kubunja sheria wanadhan wakiweka bendera ya tanzania ndio itakuwa sio ubunjifunwa sheria
2026-09-27 18:26:18
2
dogotozzy45
Muuh Finest🎒✨ :
Vanny mkali ni mmoja tu💯
2026-09-27 07:24:11
1
amprude
BUSHI MEN 🔨🦍 :
kijiwen wap Kuna mahala nataka unipeleke [Snicker]
2026-09-27 08:10:16
1
emmaboe001
Emmaboe001 :
kwaiy hapo ss mt atajuaje kama hy ni piki piki ya biashara au ya mt binafsi?
2026-09-27 15:06:57
0
dullah.miwa
DULLAh miwa :
unyama mwanangu
2026-09-27 05:53:51
1
To see more videos from user @jayson__04, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About