hakuna anae kwenda makaburini kufanya tawaf wala sijaona maisha yangu
labda sheikh utuletee clip tuone
2026-09-26 21:54:29
4
binkassim :
Kwani kuzuru makabur ni dhambi?
2026-09-27 08:12:55
0
Faiz mbaruk :
swadakta sheikh Abdallah Humaid
2026-09-27 05:45:05
6
chekabincheka :
je kuomba msaada kwa maiti ambae ni shekhe ama sharifu inafaaa?
2026-09-28 10:56:48
1
moon :
sasa ikiwa wenyewe wanakataa wanasema hawatufu makaburini,twawalazimisha nn wakubali kuwa wanatufu ilhali wenyewe wanapinga hilo?
2026-09-26 20:19:09
3
wellfarmed :
baina yetu na sisi ni vitabu vya salaf... Sh Iswamuddin. anawasubiri sana.
2026-09-26 21:43:41
3
yahya munhu :
masufi bhana
2026-09-27 07:17:58
2
Sultan Jahdhamy :
من أكل طعامَأخيه لِيسرّهُلم يضرّهُخلاصة حكم المحدث : هو من كلام أبي سليمان الداراني
الراوي : - | المحدث : مرعي الكرمي | المصدر : الفوائد الموضوعة الصفحة أو الرقم : 137
2026-10-11 10:20:44
0
Tobyali9335 :
hajasema tawaf si Ibada. amesema kufanya tawaf haina maana watu wanaabudia kaaba
2026-10-02 14:23:16
0
Ibn Abass. :
ahsante safisha mazingira
2026-09-27 04:41:58
3
فوز :
subhaanallah
2026-09-27 20:11:09
0
user75587134878 :
Hakusema tawaf si ibada
2026-09-27 18:55:51
0
ummu_maryam :
elewa vzr izudin ameongea nini
2026-09-30 13:28:57
0
zenji green :
Tunaelewa Mwalim
ALLAH AKULIPE KHERI
2026-09-28 11:13:13
0
khuzeir 39,500 :
sheikh izudin ameongea kiilimu mashallah na nyny mngu awajazi kheri kwa kutu sambazia hii clip na hii faida ya sheikh izudin mm nimefaidika sna kwa namna izudin alivo ongea ilmu na hikma
2026-09-27 04:06:50
0
alubeidybean :
izzudin anasema vizuri na kueleweka kuwa hawafanyi tawaf na wala sijaona watu kufanya tawaf makaburini na hakusema tawaf sii ibada
2026-09-26 21:50:13
3
alubeidybean :
na amesema tawaf ina masharti na sheikh auliza ameyatowa wapi hayo masharti? yaani nauliza tawaf haina masharti?
2026-09-26 21:52:00
1
alubeidybean :
amesema hatuabudu alkaaba katika tawaf
2026-09-26 21:50:50
1
Ali G :
Izzuddin hajasema kutufu kwa ibada katika makaburi… jamani tujiepushe kulisha watu mistafahamu
2026-10-31 23:19:24
0
Al-juhany☯️ :
jmn watu tusipumbazwe na makhurafi kwa maneno yao na mashiri yao, wew kama umeona ibada muulize shekh wako akufungulie hadith ambayo inaelekeza namn hio ibada inavyofanyiwa, kila ibada ni ima qur an imeelekza au hadith au makhalifa wet ambao mrume alituruhusu kushika sunna zake na sunna za makhalifa wake.....و الله اعلم
2026-09-27 05:18:04
0
AbuuMohamed :
vifaranga vya salaf tuko sisi hawana bao lake iswamu deen wala izzudin
2026-09-26 17:19:19
2
Alfaqeer :
Akamjibu Shekh Iswamuddin huko kama ni mwanaume
2026-09-26 15:01:03
0
Omari Shaibu :
AMEKANA WATU HAWAZUNGUKI MAKABURI...
2026-09-26 17:37:38
0
sheikh Ibrahim Said :
basi shikhe Dalilah. mjibu Isamu diin vile vitabu vyake kuhusu TABARUK mkaburini...
Haina haja maneno meengi...
2026-09-28 08:40:55
0
user248165845409 :
hawa jamaa aweshi kujitetea kila mara lkini wataelewa tu
2026-09-28 19:12:15
0
To see more videos from user @abuunabil_30, please go to the Tikwm
homepage.