@mr.ahiq.junior: Challenge #ivan17fypppp #Fey_liiyTz🇹🇿.one #viralvideos #foryoupage❤️❤️

Fey_liiy👑🇹🇿one1
Fey_liiy👑🇹🇿one1
Open In TikTok:
Region: TZ
Saturday 26 September 2026 14:52:45 GMT
203900
16261
391
276

Music

Download

Comments

kudos765
TRUE EYES :
wamebaki wawil, Mama angu na huyu, lakin wengne hao ,ni kilio😌😌
2026-09-27 03:07:55
180
benjamin.butati
Benjamin Butati :
mwanamke kama huyu ni Mmoja tu Tena ni huyu tu
2026-09-27 02:34:40
63
patrick71930
Patrick Eduardo :
Wamebaki wawili tu huyo Dada na mkewangu kipenzi Dr Lucy
2026-09-27 10:27:02
43
emmanuel.amos51
Emmanuel Amos :
wachache liveee
2026-09-28 06:03:27
0
miss.laurent1
Baby Esther🥰❤️ :
sasa mm nalia nin utadhan yana niuhusu🥺
2026-09-27 06:33:16
26
cutelimah
cute limah💖💝 :
huyu dada anaongea kama nilivyokuwa zamani kabla😂😂😂😂
2026-09-27 10:56:56
42
anitaantidius
mrs wille :
wee ata huyu wangu angekua marekan mbn ningetulia tuu
2026-09-27 05:31:40
65
muhamed.seleman.s
Muhamed seleman Sultan :
sijui kama c mchaga huyo dada
2026-09-27 04:08:09
21
nadiakanyabigo
Nadia J.R :
anasauti nzuri jamani ni mtulivu kama mimi enzi zangu za uhai
2026-09-27 07:32:14
22
abrahamani.tz
𝕬𝖇𝖉𝖚𝖗𝖑𝖆𝖍𝖆𝖒𝖆𝖓𝖎 :
kwani Marekani wanatuona
2026-09-26 21:44:32
21
ajjuh57
ajjuh@ :
elewa neno mume Sasa mlitegemea amtaje nan
2026-09-27 14:44:14
8
samaah453
Samaah ❤️ :
Sasa mtu unamume umtaje nani sasa
2026-09-27 09:14:56
8
missboss2025
Regy home & collection✨️❤️ :
Najua haiwahusu ila mm n Kama huyu dada sema wananipiga matukio 😳😂😂
2026-09-27 07:06:05
12
sityjunior2
sityjunior :
Mungu nipo chini ya Miguu yako najinyenyekeza mbele yako naomba nipe Mume kama wa uyu Dada
2026-09-27 07:17:45
7
user9166941272472
John kayolo :
ww nimwanamke bora sana mungu akubariki
2026-09-27 03:54:51
15
upendogorwe
lovely🍎🦋 :
Hawa ni wa wachache jamani
2026-09-26 22:24:34
8
jumakhamissi
jumakhamissi :
mashallah dada yangu wewe muaminifu sana
2026-09-27 05:52:45
5
colaniah
KEAUDTHEUR🇧🇶🇫🇮❤️ :
😅😅😅😅😅ukipata kama huyu shukuru Mungu
2026-09-27 05:47:54
6
kudos765
TRUE EYES :
huyu ni kabila langu tena ni bint wa ba mdg,Kam mkitak mdg wake yupo 🥰
2026-09-27 03:09:35
11
abuutoakali2
TOAKALI :
jamani natamani mke kama uyo
2026-09-26 21:30:08
9
geologicmath04.cm
math-Guru23€ :
huyo anamme wake ulitegemea amtaje mwngne sasa happ
2026-09-27 00:55:05
5
s2_man1
MTONYA,S2🍀 :
kama hawa mnawapata wapi
2026-09-26 22:45:17
5
angel.nassary
Angel Nassary :
tumebaki wawili tu mi na huyo dada😂
2026-09-28 14:10:29
2
john.gm35
John gm :
wachache sana
2026-09-27 13:06:04
1
goldvainbillionarex1
bosslady #mom quince :
ata mm nlikua ivyo zamn
2026-09-27 17:05:20
0
To see more videos from user @mr.ahiq.junior, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About