@bashasha_tv: VIDEO SEHEMU YA PILI: Mbunge wa Kigoma Mjini, Levocatus Chipando maarufu kama Babalevo, amenaswa akibishana na Afisa wa TRA aliyekuwa ameambatana na askari Polisi wakati walipofika kwa msanii Ommy Dimpoz. Tukio hilo limetokea wakati maafisa hao walipofika kwa msanii huyo na baadaye kuchukua gari lake kwa tuhuma za makosa yanayomkabili. #bashashatvupdates #bashashadigital #bashashamedia

bashasha_tv
bashasha_tv
Open In TikTok:
Region: TZ
Saturday 26 September 2026 15:09:50 GMT
293574
19337
425
348

Music

Download

Comments

tasamasamwel
Tasama Samwel :
polisi ana haki yake hata kama hajavaa uniform.kikubwa ni id.
2026-09-26 16:05:03
121
happyimagination_21
Happy :
baba levo noma sana
2026-09-26 15:43:43
82
frankalbert97
frankalbert215 :
jamaa wa TRA ana busara sana 👏👏👏
2026-09-26 16:51:06
69
queenoftheroad60
𝑴𝑬𝑳𝑳𝒀 𝑹𝑴𝑻🇭🇹🇰🇪🇹🇿 :
jamaa wa TRA yuko sahihi kabisa
2026-09-26 16:47:54
10
moghaka8
moghaka :
ila jamaa wa TRA kajibu vizuri sana tukiacha mihemko tukamsikiliza kajibu vizuri sana
2026-09-26 16:19:22
97
hassanmkongodrc46
hassanmkongodrc46 :
baba levo acha sifa unazalilisha watu waache wafanye kazi yao😳😳
2026-09-26 17:38:05
12
donaldkapinga55gmail.com
donaldkapinga :
one love baba levo
2026-09-27 03:19:09
0
ibrahimlikoko
ibrahimlikoko :
kwann akamate gari usiku na nje ya muda wa kazi???
2026-09-26 18:46:23
15
user3007427113305
machano :
Sema Baba levo mwamba kumbee😁
2026-09-26 17:35:23
18
le_patron26
le_patron26☪️ :
Taarifa za mteja mwenye matatizo
2026-09-26 15:43:56
21
simaofeysalgmail
Esmail Feysali# :
apo kwenye Chama cha mapinduzi ndio umearibu
2026-09-26 15:56:50
44
baraka.daniel56
Baraka Daniel :
dah Baba leo atari
2026-09-26 15:46:38
40
officiladovu_tz
Officialdovu :
TRA anakitambulisho Ila police Hana
2026-09-26 16:53:34
13
anicethsimoni
Aniceth simoni :
kumbe content🤣🤣🤣
2026-09-26 18:53:38
0
yuleboymsodoki_24
YULE BOY msodoki 24 :
kama gari inadaiwa anatakiwa kulipa tulipe kodi kwa maendeleo ya nchi yetu
2026-09-26 16:53:09
14
princess.angel894
Angel store :
kwa hiyo video hajatumia busara, baba levo
2026-09-26 18:31:57
7
fabianjr60
fabian :
level imezingua
2026-09-26 20:49:38
0
jojooutfits4
jojo outfits :
mama s juuuuuuuuuuuu
2026-09-26 17:21:23
0
29.october.25
29.10.2025 :
baba levo anaketa siasa kwenye kazi, sawa tra wana viburi ila hapa ni ubabe wa madaraka umetumika
2026-09-26 17:13:40
7
mwalongo25
gody chambuu :
Baba levo 5 tena
2026-09-26 16:09:05
17
kigahe.kigahe2
miss Leo🦋 :
TRA USIK SAA MOJA
2026-09-26 16:11:32
10
jamesmsolina2
James fine boy :
Yani baba levo kama kasoma salute baba nakukubali sna
2026-09-26 16:53:53
12
fjimmy6
user8758321179811 :
saa ngap usiku
2026-09-26 15:38:53
8
emanuel.lubango
Emanuel Lubango :
waoo nakupeda sana baba levo
2026-09-26 17:51:46
6
kryamunu
kiryamunu 777 :
mwamba mmi nakupigia saruti nyingi sana babarevo
2026-09-26 16:24:45
7
To see more videos from user @bashasha_tv, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About