@magufuli.daima: Mchi hii ni tailing sana , acheni tena kujiona maskini japo kuwa wapo waliotangulia walituaminisha kuwa nchi hii ni masking. Lakini ukweli ni kwamba nchi hii ni tajili kwasababu ina rasilimali nyingi sana. magufuli daima #magufuli #magufulikitiktok #magufulijembe #fyp
MAGUFULI DAIMA
Region: TZ
Saturday 26 September 2026 15:19:04 GMT
Music
Download
Comments
Husama Faruku :
namkubali sana huyu raisi hata ukoaliko mungu amlazemahara pema Peponi wote tusema ameni
2026-09-26 15:23:44
3
TATA BM🦅🇹🇿(Newman) :
MZEE HUO UTAJIRI WANATUMIA WAO
2026-10-08 15:19:40
0
~@¥oung@@~ kidd¥~😨😨😨😨😨😨 :
Mungu ambalika amania
2026-09-26 15:51:08
2
Shimbi fredrick :
Mamkubali sana Mwamba wetu RIP
2026-09-29 22:58:16
2
Fan _page_Andrew_bey :
pumzika Daima JpM ❤️🙏
2026-09-28 04:37:08
1
Hija mabalaa :
uwezo mkubwa wa kukusanya kodi na kuzisimamia katika miradi mbalimbali hicho ndicho kitu ambacho wengine hawawezi kwaajir ya tamaa zao
2026-09-26 17:19:10
1
Asha Gold :
pumzika kwa amani baba
2026-09-29 00:43:38
1
young xwaga :
huyu ndiyo Rais Bora akitok Nyerere na mkapa
2026-09-26 19:39:08
0
...Nassir Bebeto... :
ALLAH AKBAR ☝️
2026-10-03 21:59:15
0
🦋 🧸barbie ✅️dee🏀🎀 :
2026-09-30 15:53:39
0
-Lil Riam😎✌️ :
Tulishindwa kukuelewa ukiwepo 🥺 saivi ndio tunaelewa ulikuwa unasema nini na unamaanisha nini😌
2026-09-27 20:46:59
0
Andrews :
tumeshindwa kumlinda mshua kwa upuuz wetu, acha tule chuma
2026-09-26 19:03:29
1
user6586277543198 :
😳Dah,inaumiza sanaa😂😂
2026-09-28 06:20:40
1
Juma_mahamba :
😁
2026-10-01 09:53:59
0
faustin banini :
[Gros LOL][Gros LOL][Gros LOL]
2026-09-28 21:52:10
0
andoniopedro :
😳😳😳
2026-10-04 18:45:25
0
To see more videos from user @magufuli.daima, please go to the Tikwm
homepage.
© 2021-2026 TikWM. All rights reserved.