Dr jesy mi na mume wangu wote ni group o ,, Mimi positive yeye negative
2026-09-26 16:03:15
1
asnation :
Mie ni O- mwenzangu ni O+ tuna watoto wa4 wote ni -O- na sijawah choma Ant-D. ..Namshkuru Mungu
2026-09-26 20:08:41
3
Nasma s :
shindano inatakiwa kuchoma ukiaa na miezi mingap ya ujazito
2026-09-26 19:32:42
1
nee.wence :
anti_D inachomwa kila ujauzito au mara moja tu?!
2026-09-26 19:21:43
1
Raiyan :
mm ni O negative ila mume wangu AB+ kwaiyo nishapata mtoto kwaiyo nijandae next pregnancy Insha'Allah
2026-09-26 17:15:48
0
Mirry :
Mimi o positive na Mr ni o positive
2026-09-26 17:52:12
0
princess Vanessa :
dr mimi nina wiki 21 lakini kichwa kinauma mpaka naona ukungu shida ni niji?
2026-09-26 16:17:00
2
snf💟 :
rhesus factor😊😊
2026-09-26 20:57:13
0
phinah🦋 :
samahani doctor jessy .nina group A negative mwanaume ana positive kwanini kila nikipokea ujauzito unaharibika..
2026-09-26 16:35:57
1
LUKANDA :
vipi mwanaume akiwa negative na mwanamke positive?
2026-09-26 18:20:10
0
user94872503131183 :
Mimi ni muanga wa Hilo tatizo hiv iyo sindano inachomwa muda gan wa ujauzito
2026-09-26 20:56:04
0
lily💖 :
da jessy sry naomba kuuliza tanzmed mtandao unasumbua au kunachangamoto
2026-09-26 15:58:33
1
dee :
Hello me posteve Ila mtoto wangu wapili nilikundilika Nina shida hiyo so kwa ujauzito wapili nilichoma Andit now na uzito swali langu je nitakuwa kuchoma tena nyinge au ile moja inatoa?
2026-09-26 20:26:14
0
فرحان :
Mm nina group la damu B n mume wang B+ je kunawez kutokea ttz nina ujauzito week 32 naomb kujua
2026-09-26 19:05:29
0
hulya :
kwaiyo dada mm nishachoma baada yakujifungua mimba ya kwanza na sasa nina mimba nyingine kwaiyo nikishajifungua itabid nichome tena?au b ndio bas
2026-09-26 16:15:29
0
vickychuwa0 :
unachoma mara moja au pia ukijifungua unachoma Tena?
2026-09-26 18:41:46
0
flowerbeut girl🥰🥰 :
poleni wanawake wote mnaopitia changamoto hiyo,
2026-09-26 19:14:33
1
Mumy Gracious🥰 :
♥️♥️asante dada
2026-09-26 15:58:49
1
user5044981137900 :
Me O positive mwenza wang ni O Negative je yanaendana man nilizaa mtoto wa kwanza yupo mzima ila waliofatia wote wanafalik nimeshazika watoto wawil
2026-09-26 19:22:06
0
gee tz.🥀🍃🦋 :
mm ni 0+ hiyo ipo je
2026-09-26 19:12:26
0
vanilla Ice Cream 🍦 🧊 😋 ♥️ :
Doctor mi naswali ni kizuizi kipi ni kizuri kuweka kwajili ya kuzuia mimba baada ya kujifunguwa
2026-09-26 20:10:14
0
To see more videos from user @dr.jessy09, please go to the Tikwm
homepage.